Lembeli alikua mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira uliza sasa alichokifanya akiwa mwenyekiti teh teh teh mzigo huo arudishe fedha za Mgodi wa North Mara kwanza alizokuwa anapewa kupotosha umma!
Mwizi tu akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira alikua anakwenda Mgodi wa North Mara kuchukua bahasha za hela na kulidanganya bunge utiririshaji wa maji ya Sumu mto Mara kule North Mara eti leo mnamuita jembe teh teh teh uwiii kweli CDM pango la wahamiaji haramu aende tu maana huku angekatwa tu!!
Mkuu hatamimi nahisi kama the prince hatashauriwa kuomba msamaha na hiyo sentence basi sisiem itawagharimu sanaRais wa JMT Hawezi Kamwe Kutoka Kaskazini.
Edo alisema Kipaumbelle chake ni elimu AKAKATWA, sasa sijui nani atatusaidia kujifunza kiswahili. Samahani au siyo mtanzania?Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana
Hawa ccm noma, ukiwa mamvi tu, unakatwa.Huyu lembeli c ndo mamvi part ii hadi kwenye nyusi,kwa taarifa zisizo rasmi ni kuwa sisiem inataka kuhakkisha hakuna mbunge alietoka kwao kwenda upinzani atakaerudi bungeni kwa namna yeyote ile kaz kwao.
Mbunge wa Kahama, James Lembeli, sasa ametimkia rasmi, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Taarifa zinasema, Lembeli anatarajiwa kujiunga na chama hicho asubuhi hii, jijini Dar es Salaam. Lembeli atatangaza uamuzi huo, katika ukumbi wa Ubungo Plaza.