Recent content by Kagondo

  1. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Mihemuko ya ujana kuwakosesha ajira wenye umri chini ya miaka 35

    mmmh,,,hivyo vifupi vyenye muambato s sijavielewa
  2. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Mihemuko ya ujana kuwakosesha ajira wenye umri chini ya miaka 35

    Hivyo tukubaliane tu kuwa tatizo lipo kwa hawa vijana?
  3. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Mihemuko ya ujana kuwakosesha ajira wenye umri chini ya miaka 35

    Dah,,, pengine wenye baby face basi itakula kwetu
  4. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Mihemuko ya ujana kuwakosesha ajira wenye umri chini ya miaka 35

    ‘Ili mtu aendeshe gari ya shule, sharti awe na umri usiopungua miaka 35 na sharti awe na umri usiozidi mika 60, kinyume na hapo ni kosa na adhabu yake ya awali ni faini ya shilingi laki moja pamoja na kupelekwa mahakamani’ Hii ni kwa mujibu wa mapendekezo ya sheria ya leseni za usafirishaji...
  5. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

    Mi nawaza bado, binafsi sipendagi kuaa kwa kutengwa japo ina imaana
  6. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

    Nawashangaa sana wanaosema eti pole itolewe kwa ile media watu wanayodai imevamiwa......... HAKUNA CHA KUVAMIWA WALA NINI,mteja ni mfalme, sioni jipya hapo, tena wa kupewa pole ni aliyeenda pale kufanya alichokifanya maana walikuwa na maelewano binafsi sasa hayakutekelezeka (mi nampongeza, au...
  7. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

    nilitaka kuongea hivyo,,,ni haki yake kufanya vile,pole ni ya nini?
  8. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Nimefurahi,,,eti VILAA,,,Kilaza alikuwa poa sana yule msanii,,,,,,,,,
  9. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    Asante sana mwanzisha uzi kwa uzalendo
  10. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kidini kemeeni watawala wa serikali wanaojifananisha na Mungu

    Sio shabiki wa siasa mimi,,,,na kwa ufupi hakuna siasa nchi hii,,,,yote yanaelekea kuwa siasa tu bali si siasa. Hapa nadhani huu mjadala ungeenda kule jukwaa la Dini,,,,,tungejadili kidini zaidi,,,,mi nahisi wewe hukumwelewa,,,yeye aliongea kiimani na imeandikwa................ Alijifananisha na...
  11. Kagondo

    JamiiForums Tanzania BUKOBA: Wamachinga wavamia maeneo ya kingo za barabara na kupanga bidhaa kufuatia agizo la Rais jana

    wawe makini hawa,,,,,laa sivyo watatumbuliwa,,,, kwani kasema wa Bk warudi? teh,,,,,,,,,,,, (''Niliposema kazi yenu kuzaa tu, sikumaanisha watanzania wote, nilikuwa nataniana na watani wangu wazaramo wa Dar'')
  12. Kagondo

    JamiiForums Tanzania Jamii Media ndani ya DW mchana huu

    tujuze jamani,,,,,,anatema ubuyu?
  13. Kagondo

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Machinga wameanza kurudi katika maeneo yao kufuatia agizo la Rais

    fIESTA AU Makoroboi?
  14. Kagondo

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Machinga wameanza kurudi katika maeneo yao kufuatia agizo la Rais

    Kila kiongozi anakuja na tamko lake,,,hivi mbona siku za nyuma haikuwepo hii? Mara kazi yenu kuzaa tu, alafu mwingine anakuja anakanusha eti ilikuwa utani Mara machinga waondolewe , mara warudi,,, Mara wahitimu wasivae majoho kabla ya degree, mara hiyo haipo watavaa tu,,, Mara diploma huendi...
Back
Top Bottom