Jamii Media ndani ya DW mchana huu

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Msizikilizeni Mwanzilishi wa Mtandao huu maarufu hapa nchini wa JamiiForums, Ndugu, Maxence Mello akihojiwa. Mahojiano hayo yanaendelea sasahivi.
 
sio kila mtu ana access ya kusikiliza wewe summary tu utuambie kasema nini. Mie niko huku kwetu upareni niko shambani muda huu japo nachat kidogo kidogo hapa JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom