Recent content by Kagawa26

  1. K

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa dhana ya uhuru ndani ya upinzani

    Nchi yetu imekombolewa na kupata uhuru tangu 1961 na Mwalimu, binafsi nashangaa sana hii agenda ya uhuru wapinzani wametoka nayo wapi tena, ni mambo ya ajabu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Suala zuri kwa Dkt. Magufuli ni kwamba ana mipango mizuri inayotekelezeka

    Magufuli is true son of Africa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Turudishe ustawi wa jamii katika taifa letu, wakati ni sasa

    CCM wamethibitisha kwa umma kuwa chama chao ni taasisi imara na inayojitosheleza, nimesoma ilani yao inaonekana imeandaliwa na watu smart sana na ina mambo mazuri mno ambayo yanahitajika kwa watanzania, inshort wanajua watanzania wanahitaji nini na namna ya kuwasaidia.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni mpambano kati ya CCM yenye kujenga uchumi shirikishi wa dola dhidi ya upinzani unaoshadadia soko holela katika huduma za kijamii

    Nilichojifunza katika kampeni hizi CCM wana mfumo mzuri sana wa kuwaandaa viongozi na wamewaacha wenzao kwa mbali sana, yani hadi sasa ukisikiliza sera za wagombea wengine hata hupati agenda ya kueleweka, simply CCM na mgombea wao wako vizuri na wanastahili kuongoza Tanzania.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Suala zuri kwa Dkt. Magufuli ni kwamba ana mipango mizuri inayotekelezeka

    Magufuli ni kiongozi anayejali wananchi wake na amekuwa mstari wa mbele katika kushughulikia shida za watu wake, simply he is the best
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

    Me nasoma pure science Natka urais
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aache kupotosha wananchi

    Hao wapinzani siwaseme ndio tu yaishe.....
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aache kupotosha wananchi

    Hao wapinzani siwaseme ndio tu yaishe.....
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ndugu zang me natafta namna ya kuingia UK/SPAIN....
Back
Top Bottom