Rais Magufuli aache kupotosha wananchi

Rais Magufuli aache kupotosha wananchi

Acha unafiki ww, kupinga bajeti ya serikali ni moja ya demokrasia kuonyesha kwamba ww una yako ambayo ni bora zaidi
Tofautisha kati ya kupinga na kukataa
Chadema wamekataa!
 
Ila huyu jamaa ni muongo sana yani hua hana consistency haswa kwenye swala la ujenzi wa reli leo nilikua sehemu nasikiliza redio nilimsikia alikua akihutubia Simiyu huko kwamba reli inajengwa kwa fedha zetu za ndani sh 7 trilioni huko nyuma alishasikika akisema kwamba mikopo sijui benki ya exim china, mara waturuki, serikali ya Africa Kusini zote hizo aliomba msaada ili nchi ijenge hio reli sasa unajiuliza watu washike kitu kipi mkopo au fedha za ndani, halafu hotuba zake zote ni anafanya kampeni..
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Chadema wanapinga kila kitu kuanzia kununuliwa ndege, barabare,reli, elimu,afya ,uchumi..kila kitu ni kupinga tu
Unajua watu kama wewe wanauelewa mdogo sana yani watu wanacholalamikia ni kutokufuata utaratibu, sheria zimewekwa ili kufanikisha vitu shida ni nyie ma mbumbumbu msio na uelewa wowote ule kuanza kushabikia uvunjaji wa sheria ili mradi tu kitu kionekane kinafanyika tatizo hapa ni utaratibu hatuwezi jenga jamii inayofurahia uvunjaji wa sheria
 
Nyie kina MwanaHabari Huru acheni usanii.
Nyie ndio wapotoshaji wakubwa katika nchi hii, mlitupotosha wananchi kuwa Lowassa ni fisadi papa na alihusika ktk richmond na mpaka kwenye website ya chama mkamuweka kwenye orodha.
Leo hii mnamsujudia na mnataka kila mtanzania awaelewe!!!

Matapeli wakubwa nyie!

Sent from my HTC Desire EYE using JamiiForums mobile app
Wewe kweli bwabwa, mleta mada anazungumzia bajeti wewe unaweweseka na Lowassa! Au uzi umekuwa mgumu sana kwako na division 0 yako kutoka kayumba school?!
 
Ila huyu jamaa ni muongo sana yani hua hana consistency haswa kwenye swala la ujenzi wa reli leo nilikua sehemu nasikiliza redio nilimsikia alikua akihutubia Simiyu huko kwamba reli inajengwa kwa fedha zetu za ndani sh 7 trilioni huko nyuma alishasikika akisema kwamba mikopo sijui benki ya exim china, mara waturuki, serikali ya Africa Kusini zote hizo aliomba msaada ili nchi ijenge hio reli sasa unajiuliza watu washike kitu kipi mkopo au fedha za ndani, halafu hotuba zake zote ni anafanya kampeni..
Athari za "ukichaa kichaa" ma men!
Kadiri anavyoongea kwa muda mrefu ndivyo anavyozidi kutoka relini!
 
Back
Top Bottom