Recent content by kagamba kadogo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010. Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata JK ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya Burundi ndo maana mama alikuja...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Hata mkiandamama haitasaidia kitu.... Bora mrudi tu nyumbani mgombee 2015 chadema
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rev Masanilo Won £ 500,000

    hawa jamaa ni hawkers. kuna jamaa alikuwa anawasiliana nao eti kashinda Pound laki tano.. the same message.. akawapa data wakaingia kwenye email yake.. sasa anakipata na email yake imefungwa... be careful of this........
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yagaragazwa Bungeni

    Filikunjombe anataka omary nundu anyongwe..... du huyu jamaa kigeugeu jusizi tu alikuwa anawabeza wapinzani leo yuko nao pamoja..... mheshimiwa mweyekiti.. SIUNGI MKONO HOJA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    jinsi mambo yanavyoelekea kubadilika kuna dalili kwamba viti maalum mwisho wake ni 2014. Je itakuwa jambo la mbolea iwapo tanzania itabakia na wabunge wa kuchaguliwa tu!!!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    kafie mbele
  7. K

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    **** **** ****
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wetu na wasomi wetu!!!

    nimevutiwa sana na discussion ya CV ya spika. La msingi hapa tujiulize ni kwamba usomi wetu umesaidia nini. Angalia sokione, mrema na kawawa walikuwa statemen. Lakini wasomi wetu ni bure kabisa. Kigezo cha elimu ndo kinatuponza watanzania na tunaiba mitihani vyuoni ili tufaulu then tuajiriwe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa serikali ya Tanzania mashakani

    nashangaa na kelele zote hizi bado wamefumba macho
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pesa nyingine hizo tunakopa.. Tutazilipa lini

    World Bank approves $59 mln infrastructure loan for Tanzania DAR ES SALAAM, July 1 (Reuters) - The World Bank said on Friday it has approved additional financing of $59 million to support the improvement of Tanzania's transport infrastructure. The latest loan is in addition to an...
  11. K

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Waziri Ghasia awasilisha Bajeti yake; mishahara yapanda

    Huyu kama condoleza rice mlamba miguu
  12. K

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Waziri Ghasia awasilisha Bajeti yake; mishahara yapanda

    Huyu kaka condoleza rice mlamba miguu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Madini ya Bunge yahongwa kupitisha Bajeti ya madini?

    Ndo zetuuuuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa serikali ya Tanzania mashakani

    Du patamu kaka.. Juzi tu nimeongea na mtafiti mmoja.. Raia mwema na this day nao wameotoa.. Hii ni hataru kwa nchi.. Kuna king makers
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa serikali ya Tanzania mashakani

    SOURCEsOURCE bUSINESS tIMESDate: Fri, 24 Jun 2011 17:09:20 +0100 Subject: Legitimacy crisis mounting over Tanzania's undisciplined regime (BT) Written by Times Reporter Friday, 24 June 2011 05:30 TIMES REPORTERS THE Tanzania economy recorded relatively good economic growth over the last...
Back
Top Bottom