Rev Masanilo Won £ 500,000

Leo unamfufua huyu mzee wa watu usiku wa manane?
P.S kwa lugha ya mtaani hapa una maanisha unatoa ruhusa?
ruhusa kwa wasichana tu...nilikuwa natafuta thread yake ile ya kuhusu really situation inayonukia kutokea Tanzania..tunangojea kipenga tu sasa hivi
 
Nyumbi hii bombi hii lazima utaingia line na utatoa password zako zote za ID zaidi 20 unazomiliki hapa.
hahahha... mimi nina id moja tu hapa.. huwezi ku conect dot zozote ukaja na id nyingine inayofanana na SI IVUGA..kumbe wewe unawapa wanawake id zako? hii ni hatari jamani ndio maana nchi inayumba kwa sababu akili zote za ccm ndio kama hizi zako ..
 
ndio maana nchi inayumba kwa sababu akili zote za ccm ndio kama hizi zako ..

Nchi inayumba wapi bana, tumeiongoza nchi hii kwa uadilifu kwa miaka 50 tena tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na wewe unalijua hilo, hii yote ni uongozi uliotukuka na uadilifu wa Chama Cha Mapinduzi,
 
Nchi inayumba wapi bana, tumeiongoza nchi hii kwa uadilifu kwa miaka 50 tena tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na wewe unalijua hilo, hii yote ni uongozi uliotukuka na uadilifu wa Chama Cha Mapinduzi,
nitajie maendeleo gani ambayo ccm mnajivunia ndani ay hiyo miaka 50..kitu gani ambacho mmekifanya ambacho watanzania wote wanafurahi nacho kuanzia mjini hadi vijijini..
hakuna na huwezi kunithibitishia ..utaishia kubwabwaja tu hapa
 
Hapo unaingizwa mjini.. huo ni utapeli wala usijaze hizo details maana wana kufuatilia... pia usimfowardie mtu hio email maana wataongeza msururu wa wavu wao ambao hatimaye mtu akaingia mtegoni.... SCAM..SCAM....KAMA KWELI NI COCACOLA UK- KWA NINI WATOE EMAIL YA YAHOO TENA YA HONG KONG
 
hakuna na huwezi kunithibitishia ..utaishia kubwabwaja tu hapa

Muulize babu yako turnbull aliacha mikoa mingapi imeunganishwa kwa barabara za lami, muulize ilibidi atembeee umbali gani kufuata shule, hospitali na pia muulize hayo maji ya bomba alikuwa anayaona wapi kama sio kwenye picha, muulize vyuo vikuu vilikuwa vingapi, muuulize kama enzi zao walikuwa wanapata kubadilishana taarifa kwa kiwango cha leo, muulize kama aliwahi kuota kuona mnara wa simu hapo kijijini kwao, muulize kama mkoloni alitandaza fibre za optic, na kama ule uwanja wa taifa wenye viwango vya ulaya uliachwa na mkoloni, vipi kuhusu biashara na uchumi wetu unaoshindana na mataifa mengine, muulize wakati wao walikuwa wanakwenda wapi kupata huduma za upasuaji wa moyo, hip, na huduma za kisasa za figo.....mkuu maendeleo kwa miaka hamsini ni makubwa sana, hata mkoloni akirudi leo ataona aibu kwa nini alitucheleweshea uhuru.
 
Friends

Nimepokea hii mail hapo chini! Nimeshinda pesa mingi sana na sasa najiandaa kushusha kanisa la kisasa Tanzania. Hebu someni wenyewe

Mch Masa.



THE COCA COLA COMPANY
PROMOTION PRIZE AWARD
DEPT COCA COLA AVENUE
CARGO AREA, JERSEY
United Kingdom


THE COCA COLA COMPANY OFFICIAL PRIZE NOTIFICATION

Dear Rev. Masanilo Kugema,

We are pleased to inform you of the result that just concluded annual Queen Elizabeth the II Coca Cola promotion final draws held on the (29th July, 2010) by Coca-Cola in conjunction with the American Tobacco Worldwide Promotion, your email was among the ten (10) lucky winners who won Five Hundred Thousand Great Britain Pounds (£5 00,000 GBP) each on the COCA COLA COMPANY PROMOTION.

However the results were released on the (10th August 2010) and your email was attached to ticket number (4FKAW2006) and ballot number (BT28142006/22). The online draws was conducted by a random selection of email addresses from an exclusive list of 29,031 E-mail addresses of individuals and corporate bodies picked by an advanced automated random computer search from the internet. However, no tickets were sold but all email addresses were assigned to different ticket numbers for representation and privacy.

In other to claim your Five Hundred Thousand Great Britain Pounds (£5 00,000 GBP) prize winning, which has been deposited in a designated in ELITE COURIER COMPANY. However, you will have to fill the form below and send it to the Promotion manager of THE COCA COLA COMPANY for verification and then you will be directed to the financial security company where your prize money of Five Hundred Thousand Great Britain Pounds (£5 00,000 GBP) has already been deposited in your favor.

Contact the Regional Official Agent via email with the information below:

NAME: Mr. Terry Desmond
E-MAIL: info.mrdesmondofficedep@yahoo.com.hk
Tel: +44 704 574 8158

To avoid unnecessary delays and complications, you are to contact Mr. John Desmond with followings details below:

NAME:...................................
AGE:.....................................
SEX:.....................................
ADDRESS:..............................
EMAIL:..................................
PHONE:.................................
OCCUPATION:........................
COMPANY:.............................
NATIONALITY:........................
COUNTRY:.............................

Congratulations, once more from all members and staffs of this program. Thank you for being part of our promotional lottery program.

TEAM.
Sincerely,
Mrs. Susan Race
(Zonal Co-ordinator)
CONGRATULATIONS TO YOU!!!!!!!!:
**COCA COLA WORLDWIDE PROMOTION!!!**

hahahahaha

hongera mchungaji!!

Dont tell me uliwaamini na kuwapa infos zoote!
 
Kwani Rev Masa ameacha CHAPATI za maji zinazokaa kwenye chupa za pale ILALA?.......
 
hawa jamaa ni hawkers. kuna jamaa alikuwa anawasiliana nao eti kashinda Pound laki tano.. the same message.. akawapa data wakaingia kwenye email yake.. sasa anakipata na email yake imefungwa... be careful of this........
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom