Uchumi wetu na wasomi wetu!!!

kagamba kadogo

Senior Member
Apr 24, 2011
178
13
nimevutiwa sana na discussion ya CV ya spika. La msingi hapa tujiulize ni kwamba usomi wetu umesaidia nini. Angalia sokione, mrema na kawawa walikuwa statemen. Lakini wasomi wetu ni bure kabisa. Kigezo cha elimu ndo kinatuponza watanzania na tunaiba mitihani vyuoni ili tufaulu then tuajiriwe baada ya kubuni miradi ya maendeleo. Ukiangalia watu wote wa AAAs na First Class wanaishia kuajiriwa na wale DDDs and EEEs and FFFs wanakuwa waajiri. Tatizo la msingi hapa sio elimu ya juu. Angalia prof kapuya, msola, they are useless wasomiz bora chachage alikuwa mpiganaji. Juzi naambiwa pale UD paper za semester zimetoka tena second year. Angalia leo graduates wa vyuo wengi wao fake tu wamenunua mitihanii hata skills za kujieleza hawana. Most are masks degreez
 
Back
Top Bottom