Recent content by kagabwaii

  1. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atembelea msikiti wa Mtambani ulioungua, ahuzunishwa kwa yaliyotokea

    Mwalimu alimkataa yeye pamoja na Jk mwaka 1995 ona yanayo yokea sasa so wa bongo mjisahau mmpe huyo El wenu mtakiona
  2. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kigoma wafana

    Kigoma ni mkoa wa mapinduzi akhsante ndugu zangu wana Kiiiigooomaaa mwendo mdundo hadi 2015
  3. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha kumvaa Wenje kwa mara nyingine

    Wote masha Masha Wenje hakuna kitu na Chadema wakitaka kunusuru chama chao wasimuweke Wenje kigombea mpumbavu
  4. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Serikali, Werema aungana na UKAWA

    Kinacho sumbua ni njaa poho ya lako3/diii
  5. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Je CCM ina wanachama na mashabiki wengi kuliko CHADEMA, CUF and NCCR Combined?..

    Duuuuh 2015 sisiem wataiso maaa c mchezo
  6. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa azindua nyumba ya kulala wageni

    Duuuuh ninoooma seriali ya nchi ya mfalme jua tz back Tangnyk
  7. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA Kigoma

    Duuuh ccm kumbe ina vibaraka hadi jf
  8. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuundiwa Zengwe ili afukuzwe uanachama ndani ya CHADEMA

    Hii habari ni kipropaganda na kiudakuzi zipeleke kwa ntarahamwe wa rudishie waambie wanajamv wamezikataa
  9. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    Rweikiza B.koba vijiji hana jipya kabisa na anaopgopaga kuongea bungeni kabisaa tangu achaguliwe alisha wahi kuongea mara moja tuu!!!
  10. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Shibuda aumbuka

    Hata bwana Yesu akitokea leo kuna watu wata mkana na Shibuda kuna watu bado wana muonabado ni mtu mwenye akili timamu daaaahh me nachoka huyu jamaa kashaakufa hayupo tena duniani kiakili make anachokiangalia sasa niwapi pa kubia njaa ili afike kesho kaanzia ccm kaja cdm now anataka kwenda act na...
  11. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Mfugaji wa ngombe au mkulima wa pamba ana dhamani 100% kuliko maprofesa wa bongo hakuna wanacho kifanya zaidi ya search njia za kutibu njaa zao mbaya zaidi wengine wanachangia kuharibu baadhi ya mambo na mifumo katika taifa letu check wizara ya elimu ilivyo sasa so My question kwa mtoa mada...
  12. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais: Mawaziri wakimbizana na kila aina ya kauli za kuvutia

    Wote wasaka tonge na wanapigana chini juu ili wa shike madaraka wakafichiane maovu ila Mungu yupo watanzania kataeni kurubuniwa kwa pombe khanga na t-shirt ili hali huna huakika wa mlo wa kesho hawa watu ni hatari tu waepukeni!!!!
  13. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka MwanaCHADEMA aliyeiba kadi za ACT

    Ccm wana mbinu mfuuu na ACT dhidi ya ukombozi wetu Mungu yupo nasi Amen
  14. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika, Maghorofa ni maendeleo?

    Niuhelewa mkuu
  15. kagabwaii

    JamiiForums Tanzania Njama za kuuawa kwa Dk. Slaa: IGP adai CHADEMA wanapiga siasa

    Polisi haiwezi kumfuatilia mtu aliye tumwa na ccm hata siku moja yapo mambo mengi yanatokea lakini yana zimwakimya??
Back
Top Bottom