Mkutano wa CHADEMA Kigoma wafana

Mkutano wa CHADEMA Kigoma wafana

kuna mtu jna alikurupuka hapa akashindwa kuweka picha.AKHSANTENI CHADA
 
Kigoma ni mkoa wa mapinduzi akhsante ndugu zangu wana Kiiiigooomaaa mwendo mdundo hadi 2015
 
Hapo vijana wamelewa viroba, hata hawajui nini kimezungumzwa mkutanoni.
 
Zitto ni kama SHIBUDA eti , anadaiwa akiondoka Chadema Waha wote watamfuata, kama Shibuda na wasukuma .....aaa hahahhaaaaaa........
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
Dah, mpaka raha jamani lile Gamba lililodai kuwa Kigaila alizomewa Kigoma liko wapi wakuu tugawane viungo vyake hapa

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom