Lawrence Masha kumvaa Wenje kwa mara nyingine

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,941
Huyu bwana aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana, kabla ya kuondolewa na Wenje.

Habari zinadai ameanza kupiga jaramba mapema kuivunja ngome ya wenje hasa kwa kuwaondoa wapiga kura wake ambao ni wafanya biashara ndogo ndogo, pia amekuwa akionekana maeneo yenye ushawishi kisiasa.

Wadau wanasema bwana mkubwa anataka kurudisha jimbo, amekuwa akikosoa juhudi za Wenje na anadai sasa jimbo limerudi nyuma kuliko wakati wowote tangu uhuru.
 
Huyo dogo asahau tu habari ya Nyamagana....Atabakia tu kwenye historia ya kuwa aliwahi kuwa mbunge wa Nyamagana...laikini haitapata itokee tena kuwa mbunge wa Nyamagana iwe kuna Wenje au bila Wenje.
 
Kumbe bado yupo katika anga hizi za siasa? Vipi na yule aliyekuwa mbunge wa ilemela??
 
sikuona la maana alilofanya LAU MASHA...
NA hakuna la maana amelifanya WENJE kama yapo aje mdau aseme hapa.
2015 kama atagombea wenje sitapiga kura maana siikubali ccm na simkubali wenje
 
Huyu bwana aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la nyamagana,kabla ya kuondolewa na wenje,habari zinadai ameanza kupiga jaramba mapema kuivunja ngome ya wenje hasa kwa kuwaondoa wapiga kura wake ambao ni wafanya biashara ndogo ndogo,pia amekuwa akionekana maeneo yenye ushawishi kisiasa,wadau wanasema bwana mkubwa anataka kurudisha jimbo,amekuwa akikosoa juhudi za wenje na anadai sasa jimbo limerudi nyuma kuliko wakati wowote tangu uhuru
Good, Masha ni mchapakazi, angekuwepo bado jimbo lingekuwa mbali
 
Huyo dogo asahau tu habari ya Nyamagana....Atabakia tu kwenye historia ya kuwa aliwahi kuwa mbunge wa Nyamagana...laikini haitapata itokee tena kuwa mbunge wa Nyamagana iwe kuna Wenje au bila Wenje.
Wewe uko nyamagana au unasemea huku mitandaoni? Wenje watu walishamchoka
 
sikuona la maana alilofanya LAU MASHA...
NA hakuna la maana amelifanya WENJE kama yapo aje mdau aseme hapa.
2015 kama atagombea wenje sitapiga kura maana siikubali ccm na simkubali wenje

Masha jembe, wenye hovyo sana, nasikia anakimbilia kugombea rorya kwetu, tutamtimua kama mwizi, sisi siyo wa kupokea pumba
 
Huyu bwana aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la nyamagana,kabla ya kuondolewa na wenje,habari zinadai ameanza kupiga jaramba mapema kuivunja ngome ya wenje hasa kwa kuwaondoa wapiga kura wake ambao ni wafanya biashara ndogo ndogo,pia amekuwa akionekana maeneo yenye ushawishi kisiasa,wadau wanasema bwana mkubwa anataka kurudisha jimbo,amekuwa akikosoa juhudi za wenje na anadai sasa jimbo limerudi nyuma kuliko wakati wowote tangu uhuru

Ndugu mwambie MASHA Asahau, hapo atagombea Mh. RAFAEL SHIRATU kwa CCM, kwa chadema sijajua kama bado wenje ana nia hyo au ataenda RORYA kugombea.
 
Huko Rorya sindio nimesikia mpiga Ngumi maarufu Nchini Maugo atagombea ....... haha hha hahaha yenyewe kuzaliwa tu tanzania ni miongoni mwa maajabu ya Dunia..
 
Kutokupiga kura hakusaidii ktu bora upigie upande mwingine utaoifanya CCM ikose
sikuona la maana alilofanya LAU MASHA...
NA hakuna la maana amelifanya WENJE kama yapo aje mdau aseme hapa.
2015 kama atagombea wenje sitapiga kura maana siikubali ccm na simkubali wenje
 
sikuona la maana alilofanya LAU MASHA...
NA hakuna la maana amelifanya WENJE kama yapo aje mdau aseme hapa.
2015 kama atagombea wenje sitapiga kura maana siikubali ccm na simkubali wenje

Akili za samaki hizi!!! Hasira ya mkizi furaha ya mvivu.
 
Poleni sana wachumia Tumbo, yaani wewe kilaza cybercream unasema masha angepeleka jimbo mbali? 2005 - 2010 masha alifanya nn? Ukitaka kumkosoa Wenje mkosoe MASHA, KILAZA WAKO
 
Mbona wanasema wanagawa jimbo la sengerema ili akagombee huko karumo?
 
Mwanza bado ni ya CHADEMA ila nadhani tutahitaji kupata mgombea mwingine na siyo Wenje. Wenje wakati wote amekuwa anasimama na wavunja sheria. Watu wengi wanaotaka maendeleo na wanaotaka jiji liwe safi, wanakatishwa na mambo anayofanya Wenje. Hili alitambue.

Akili za samaki hizi!!! Hasira ya mkizi furaha ya mvivu.
 
Huyo dogo asahau tu habari ya Nyamagana....Atabakia tu kwenye historia ya kuwa aliwahi kuwa mbunge wa Nyamagana...laikini haitapata itokee tena kuwa mbunge wa Nyamagana iwe kuna Wenje au bila Wenje.

Wewe uko nyamagana au unasemea huku mitandaoni? Wenje watu walishamchoka

Mkuu soma tena kwa utulivu mpaka 'sentensi' ya mwisho utaelewa namaanisha nini. Otherwise, Dunia ya leo si lazima mtu uwe Nyamagana ili kuweza kujua hali na upepo wa kisiasa unaovuma jimboni Nyamagana.

Kwa maneno mengine ni ninachomaanisha ni kuwa kuna vijana wengi ndani ya CCM (ukiachilia mbali ushindani wa Wenje ambaye ni CHADEMA) ambao wanaweza kutoa ushindani mkubwa kwa bwana Masha. Na ni ukweli usiopingika kuwa hata huko Nyamagana walishamchoka kabla hata kugombania term ya pili. Kwa hiyo hakushindwa kwa bahati mbaya.
 
Wenje ataendelea kuwepo sana tu, km masha hakulidhika this time atakufa kbs wala c kuzimia
 
Back
Top Bottom