Shibuda aumbuka

Shibuda aumbuka

Shibuda Na Zitto ni watu waliopandikizwa Chadema na kachero mstaafu ZOKA!!!
 
Hata bwana Yesu akitokea leo kuna watu wata mkana na Shibuda kuna watu bado wana muonabado ni mtu mwenye akili timamu daaaahh me nachoka huyu jamaa kashaakufa hayupo tena duniani kiakili make anachokiangalia sasa niwapi pa kubia njaa ili afike kesho kaanzia ccm kaja cdm now anataka kwenda act na huko yata vunda ataelekea adc mpaka mauti yana mkuta ana wewesa macho pakubia ma hunger yake pole zake huyu mzee!!!
 
Bwana Ujira wa Mwiha ameshindwa kuvumilia kukosa ujira wake.
 
mbona hamsemi kwamba alilalamika hapati mrejesho wa kinachoendelea, kumbuka kapu la mjanja mjinga hatii mkono. Hata kama anahudhuria bado yeye ni mcheza shoo tu hayuko huru kutoa maoni yake mbele ya wahafidhina ambao wanatabirika nini wanataka.
 
Shibuda alishindikana ndani ya CCM, chama ambacho kina takataka zote, mpaka wauza madawa ya kulevya, majangili wa pembe za ndovu, n.k. sidhani kuna mahali anaweza kukubalika. CHADEMA ilifanya kosa kubwa sana kumkubalia huyu nyang'au.

Shibuda amesema hatagombea kupitia CHADEMA. CHADEMA wanachotakiwa kufanya ni kumfukuza. Mlafi adhabu imfaayo ni kumnyima chakula.
 
Back
Top Bottom