Recent content by kafuii

  1. kafuii

    JamiiForums Tanzania Mke niliyemlipia mahari anataka kuolewa na jamaa mwingine

    Sasa hapo ww unajitafutia matatizo bure maana utamforce huyo mwanamke ubaki naye na wakati ukweli ni hakupendi tena tayari ameshampenda mwanaume mwingine so mahari isikufanye uje kosa amani ndani yanyumba yako.
  2. kafuii

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake hutoa 'bao' wakifika kileleni?

    Hiyo ni bomba la maji limekatika ghafla
  3. kafuii

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Kweli wangemfata kistaarabu tena wamuombe radhi hapo mtu furaha aliyoipata ilikuwa kabambe halafu unamtoa kama kazamia
  4. kafuii

    JamiiForums Tanzania Huu si uanaume, ni aibu

    Jamni mm namba moja 1. ndio nakerwa nayo haswa yaani kuna wanaume kazi kununa mpaka kero unabembeleza mpaka unatamani na yy akuudhi umpe adabu jamani wajirekebishe
  5. kafuii

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

    Tupia basi na picha yake tuyaone yalivyokuwa
  6. kafuii

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Mm jameni ile ya kina Angelo, yna makaspar hata speling sijui kama sawa ilikuwa inaitwa kama pang'ako sayoo sijui ipo sawa
  7. kafuii

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

    Na mm jamen nimfahamu chizi ni nani
Back
Top Bottom