Recent content by kaft rogathe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Inauma sana kwa kitendo cha kinyama namna hii wamelazimisha uione pepo kabla ya wakati ila r.i.p wewe mbele sisi nyuma mapambano ndiyo kwanza yameanza umeondoka kabla ya kupata ukombozi wa pili wa nchi yetu tzania ila ila tutaendelea pale ulipoishia. Daaaah...kamanda alphonce mawazo jembe letu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Monaban-lema ataajiriwa kuwa mlinzi !

    Mwaka huu ccm mtaongea sana ila hakuna mafanikio na lema ndiye mbunge wetu arusha na monaban utarudi kijijin kwenu kwenda kuchunga ng'ombe
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe watahamia hata tusiowategemea naona inajidhihirisha

    Watu wamechoka kuburuzwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

    Usiseme lowasa sema jembe
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

    Mbowe ni jembe mpk lowasa na ujanja wake amenyoosha mikono na kusema alivyokuwa anamdhania mbowe ni tofauti kabisa. Na kwa mahal mbowe alipokitoa chama mpk kilipofika kwa sasa angekuwa mwingine angeshakimbia. Waasis wenyewe walikubali kumwachia chama aendelee kukiendesha mzee mtei na mzee wetu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zoa Gamba Inaendelea

    Ubatizo hufanyika pale mchungaji anapofika kwenye sinagog hivvyo hao huo ni ubatizo wa kuwa cdm
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

    Nimefurahia hili wazo ni lizuri sana na pia naomben mrushe kwenye magroup ya whatsap pamoja na mitandao yote ya kijamii ili uhamasishaji uanze tangu sasa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

    Kama ni kwel mim naendelea kufurah na pia ccm waendelee kuiandaa kisaikolojia kuwa wapinzan ili nao wajue utamu wa mabomu kama tulivyoshuhudia kwa mara ya kwanza ccm kupigwa mabom dodoma ...... Mwaka huu mtafurah
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Watu wanapenda kudandia visivyowahusu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Ni kweli alisema hata mim nakumbuka nadhan pia kuna wabunge wengine nadhan walikuwepo kina pindi chana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Tumechoka na ccm na mwaka huu ccm itakuwa upinzan kama vyama vingine na nadhan mmeona kwa mara ya kwanza kuona ccm wanapigwa mabomu na bado ile ilikuwa inawatengenezea mazingira ya kujiandaaa kisaikolojia hy ilikuwa dodoma na mtafurah
  12. K

    JamiiForums Tanzania Donge nono kutolewa: Nimeibiwa

    Pole sana daaah inauma sana ila mtazamo wa huyo aliyekwambia tafuta masela wa eneo husika nadhan linamantik
Back
Top Bottom