Monaban-lema ataajiriwa kuwa mlinzi !

Monaban-lema ataajiriwa kuwa mlinzi !

Ukitoa msaada mkono wa kulia,wa kushoto usijue.
Kama anataja misaada aliowasaidia yatima eti ni gia ya kupewa ubunge ajue AMESHAKOSA.

Hawezi kufanya udhalilishaji kwa wasiojiweza.
 
Haijua Arusha vizuri analetewa taarifa Na watu, haingii mtaani akaona kinachoendelea, wafanyabiasha wanateseka Na Umeme hakuna, utalii tulifukuzwa Na kenya, Kiwanja cha kia kimekaa Na vindege vichache, kilombero wamama wanapigwa Na mgambo, mbauda wamachinga waliharibiwa vitu vyao Na greda mpaka Lema akaenda, wanajua kabla ya 2010, Arusha ilikuaje Na sana ikoje!!, Na tatizo ni ccm, Kama anagombea Chama kingine angepata.
 
Kwani lema sio msomi?!

Lema kakulia kijueni ndio maana hawez ishi na kutulia. Hajui hapa nipo na vijana, hajui hapa nipo na wazee. Na kila rika au kundi la watu linastyle ya kuliface na deal na matatizo yao.

Lema ameshindwa kutofautisha ndicho kitachomcost maskini
 
monaban ni toto changa mbele ya KAMANDA LEMA.CC
AR HAMNAGA
 
Haijua Arusha vizuri analetewa taarifa Na watu, haingii mtaani akaona kinachoendelea, wafanyabiasha wanateseka Na Umeme hakuna, utalii tulifukuzwa Na kenya, Kiwanja cha kia kimekaa Na vindege vichache, kilombero wamama wanapigwa Na mgambo, mbauda wamachinga waliharibiwa vitu vyao Na greda mpaka Lema akaenda, wanajua kabla ya 2010, Arusha ilikuaje Na sana ikoje!!, Na tatizo ni ccm, Kama anagombea Chama kingine angepata.

Usidanganyike!!!!

Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu coz aliona hakuwa na FINAL say juu ya matatizo ya wananchi.

Lema ama monaban kama wabunge vivyo hivyo kwa sasa tunaangalia aspect ya BRAIN. Lema bana hata wewe unajua ni zero brain na usimtetee ksbb ya chama. Tetea mawazo yake kwa facts tukuelewe
 
Ndugu kumbuka siasa si chama ni mtu!

Na kama ndivyo basi kafanya nini?!!

Mwaka huu kwa bongo c vinginevyo Lema ni hoi bin taaban mm ni cdm pia mzee ila hapo cjipi moyo
Vp kwan jamaa hauna mpango wa kumpigia kura lema nn bana kada?mm familia yangu na machizi wangu tutampigia kura lema lowassa na diwani ambaye ata Simjui jina watake wasitake
 
monaban ni toto changa mbele ya KAMANDA LEMA.CCM
AR HAMNAGA
 
Vp kwan jamaa hauna mpango wa kumpigia kura lema nn bana kada?mm familia yangu na machizi wangu tutampigia kura lema lowassa na diwani ambaye ata Simjui jina watake wasitake

Kwa kweli anisamehe kura yangu hatoipata Lema
 
Monaban kaishia darasa la nne kule bangata.
Kama ni tajiri angemsaidia mama yake mzazi anayeuza ndizi makunduu soko la ngulelo
 
Mwenye CV ya Monaban aweke hapa tuone yeye na Lema nani msomi.
Kweli masisiem yamechanganyikiwa muziki wa Lema huyo.Monaban atauweza wapi?
 
Kuhusu sera rejea ilani ya ccm ambayo kila mgombea anakabidhiwa jukwaani mchana kweupe.
Ukawa walishatuambia ilani yao ipo kwenye tovuti na tulipokwenda huko tumekuta list of shame imefutwa ...tukastukia sera za UKAWA-2015 ni kuunga mkono ufisadi.

"TU".. Tulipo kwenda.. Tumekuta..Tukasikia .. Neno "TU" Lina wakilisha kutoku jiamini kwako wewe mwenyewe katika kile unachosimamia na kukiamini. Ngoja ni mjibu huyo/hao ulio enda nao kwenye tovuti ya UKAWA. Hiyo list ya shame anayo/wanayo ifahamu hao wenzako ni ipi. Sera zilizo andikwa za kuunga mkono ufisadi umezipata wapi kama kwenye tovuti ya UKAWA list ya shame imefutwa?
 
Mwaka huu ccm mtaongea sana ila hakuna mafanikio na lema ndiye mbunge wetu arusha na monaban utarudi kijijin kwenu kwenda kuchunga ng'ombe
 
Mwaka huu ccm mtaongea sana ila hakuna mafanikio na lema ndiye mbunge wetu arusha na monaban utarudi kijijin kwenu kwenda kuchunga ng'ombe
Lema atakuwa na historia ya kuwa Mbunge wa Arusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom