Recent content by Kafka

  1. Kafka

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

    kwahyo unaona kilichotokea GAZA ni sawa kisa tu hamna masinagogi!??
  2. Kafka

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

    Cha ajabu kombe la dunia timu ya saudia weusi wapo karibia saba unataka uniambie hao majamaa wote watakuwa wameoa weusi wenzao?
  3. Kafka

    JamiiForums Tanzania Da Pipi nina dukuduku langu

    Dada kakuachia simu eti
  4. Kafka

    JamiiForums Tanzania Maombi ni upotevu wa muda

    Maombi yako hayajibiwi labda una imani dhaifu au huongezi juhudi kupata unachoomba au muda wake wa kujibiwa bado
  5. Kafka

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii imekaaje,Je MZUNGU anaweza kumuongezea DAMU MUAFRIKA MWEUSI na je haibadili DNA?

    hamna kitu cha muhimu ni kuhakikisha anaechangiwa damu yupo kundi moja la damu na anaechangia basi
  6. Kafka

    JamiiForums Tanzania Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Mchezaji mwenyew kumbe ni sele ingekuwa libasse au oura apo ndo ingekuwa jau
  7. Kafka

    JamiiForums Tanzania Magori tokea lile tukio la kukimbila Uwanja wa Taifa na kupiga picha kushinikiza Match ya Fainali ipigwe Mkapa ndio nilijua yule mzee ni shoti

    daah Simba sijui tatizo ni nani kati ya muwekezaji na wanachama?
  8. Kafka

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

    mkuu ata mm nashindwa kuelewa
  9. Kafka

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

    Hata mimi najiuliza kwa nini hamna mtu mweusi apa
  10. Kafka

    JamiiForums Tanzania Je, uwepo wa Dini ni sababu ya Afrika kutokuendelea?

    Italy na saudi arabia kote kuna dini lakini Cha ajabu wamepiga hatua kutuzidi sisi huku nafikiri ni nature ya watu tu
  11. Kafka

    JamiiForums Tanzania Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

    Ndo freewill yenyewe sasa
  12. Kafka

    JamiiForums Tanzania Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

    nadhan binadamu ameumbwa akiwa na free will ya kufanya atakavyo na kama ameenda tofauti na mafundisho anaweza akaomba msamaha na akasamehewa sio lazima uchomwe unaweza ukaomba msamaha
  13. Kafka

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

    Wakuu hvi mtu akikuambia nitajuaje kama unanipenda kweli ndo huwa mnajibuje😀
Back
Top Bottom