Recent content by KAFA.cOm

  1. KAFA.cOm

    Mungu najua ananitaarifu kuhusu jambo muhimu ila naona simuelewi

    OA MKUU..TAFUTA MKE. HAPO NDO UMUHIMU WA MKE UNAPOKUJA.
  2. KAFA.cOm

    KAMA NI KWELI MUSA NDO MWANDISHI WA VITABU VITANO VYA BIBLIA KUNA SEHEMU KUNAYUMBA

    MUSA KWA MAELEZO YAKE ALIOKOTWA AKIWA MDOGO AKAISHI KWA PHARAO ALAFU AKAWA MKUBWA .... AKAENDA KUWAKOMBOA WAMISRI..... KUKAA KWA PHARAO HUYU JAMAA ALIKUWA ANAJUA MENGI SANAAAAA... NAISI KUNA UWEZEKANO MUSA ALITUMWA NA HATA NA HUO UFALME.... KWANINI NAWAZA HIVI?? KWA SABABU HADITHI ZA BIBLIA...
  3. KAFA.cOm

    Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

    NATUMIA SANA HERB... ILA ILI NIUWEKE UBOKNGO HIGHER NATAFUTA NGOMA YA VICTIMS YAKE LUCK DUBE.... KIITIKIO KUNA DADA ANAIMBA KUTOKEA MOYONI
  4. KAFA.cOm

    Rich Mavoko aishtaki WCB kwa ‘mkataba wa kinyonyaji’

    Wcb wanatafuta kiki tu.
  5. KAFA.cOm

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    HADI VODACOM WAMESHACHOKA HII HALI SO KWA KUTUSAIDIA 26/04/2018 NDO WAMETULETEA HII OFFER ILI TAREHE HIYO IKIFIKA TUWE WELL INFORMED....
  6. KAFA.cOm

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwa kuelewa fika kuwa watanzania wengi wanategemea kupata habari kutokea kwenye ile page ya dada wa taifa.. vodacom wameamua kutupatia bure huduma ya instagram kila uongezapo sh 1000. Hii offer sio kwa bahati mbaya wanaelewa fika kuwa waTz ni binadamu na wamebinywa sana ktk kupata information...
  7. KAFA.cOm

    Kikwete: CCM tukiishi kwa kutegemea Polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli

    CCM MSITEGEMEE POLISI - KIKWETE 11 Novemba 2012 RAIS Jakaya Kikwete Novemba 2012 aliwaonya wanachama wa CCM akiwataka waache kubweteka kwa kuwategemea askari polisi katika masuala ya kisiasa, kwani kufanya hivyo watakuwa wanajidanganya. Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifunga Mkutano Mkuu...
  8. KAFA.cOm

    Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    HIVI SISI WATANZANIA NI WAJINGA KIASI HIKI KWELI?? HAYA BABU YENU WA BAHATI ZA KUOKOTA KAOKOTA TENA MIHELA HIYOOOOOO,. Leo Rais Magufuli Anasema Kuna Dolla Billion 1 zimekamatwa Uwanja wa Ndege zilikuwa zinaingia hapa Nchini (nilishituka sana) Sasa Hapa ndipo leo Natumia Maneno ya JK Akili...
  9. KAFA.cOm

    Kongamano la uzalendo na utaifa watu kuanza kuondoka kabla ya meza kuu inaasharia nini?

    Nimebahatika kuhudhuria kongamano la uzalendo na utaifa lililoandaliwa na wizara ya habari utamaduni na sanaa na michezo.... Tukio hili kwa asilimia 85 limehudhuriwa na vijana na mgeni rasmi ni mama yetu samia Suluhu... Lakini vijana wameanza kuondoka kuanzia saa 12 kuiacha meza kuu...
  10. KAFA.cOm

    PC yangu haiwaki mpaka nitoe betri, tatizo nini?

    Hello wadau Pc yangu inashida haiwezi waka bila kutoa betri kwanza ndo nirudishe... Tatizo ni nini? Solution ni lipi?
  11. KAFA.cOm

    Kwanini karibu kila kitu anachoanzisha Magufuli kinakuwa na mwisho mbaya?

    Tamaa pesa ya wahanga bukoba kaenda jengea hostel
  12. KAFA.cOm

    Hosteli za Magufuli chuoni UDSM: Miundombinu ya maji nayo ni changamoto kubwa!

    Wewe ni mavi ya ngedere....... Changamoto za hayo majengo usiongee kama haupo hapo...unaropoka ropoka tu.... Ground Floor dari lake limepiga nyufa ambapo mtu akideki maji yanavuja kabisa...na hiyo ground imebeba foor nyingine..... UNATETEA UPUUZI HAPA...
  13. KAFA.cOm

    Mkurugenzi wa TBA achukuliwe hatua kwa kuingizia serikali hasara

    Rais wetu kwa moyo wa dhati kabisa ameamua kuwaamini wataalamu wa ndani na kuwapa kazi ili kuwajengea Uwezo na kukuza utaalamu wao. Tatizo kubwa lilipo nchini mwetu ni kwamba mwizi ni mwizi tu ukimuita kibaka, jambazi, fisadi, kwapukwapu hizi ni mbwembwe tu mwisho wa siku anabaki kuwa ni mwizi...
  14. KAFA.cOm

    Diamond na Ali Kiba mkakati August 21

    Hebu tujaribu kuunganisha hizi dot… kwanza Agosti 21, vituo viwili vya redio nchini, Clouds Media Group na EFM, vilizindua matamasha yao mawili makubwa watakayoyafanya mwaka huu. FIESTA na MZIKI MNENE! Hii FIESTA nafikiri inafahamika. Ni miongoni mwa tamasha kubwa nchini linaloandaliwa na...
Back
Top Bottom