PC yangu haiwaki mpaka nitoe betri, tatizo nini?

PC yangu haiwaki mpaka nitoe betri, tatizo nini?

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,300
Reaction score
743
Hello wadau
Pc yangu inashida haiwezi waka bila kutoa betri kwanza ndo nirudishe...
Tatizo ni nini?
Solution ni lipi?
 
Hello wadau
Pc yangu inashida haiwezi waka bila kutoa betri kwanza ndo nirudishe...
Tatizo ni nini?
Solution ni lipi?

Most probably ilvotengenezwa main power kwenda kwa system inapitia kwa batery, kwa hiyo battery ikiwa na hitilafu then power don't go through, kawaone wataalam, probably utatakuwa ununue battery mpya
 
Hp probook 450 g2

Get a battery, I had same laptop in 2011 I think, same problem, mimi nilinunua ingine tu, nikaivuruga mawaya iyo battery ndani ikawa battery yakaa tu kulinda shape ila haifanyi kitu chochote, ikawa inatumika direct na bwana mdogo bi charge ya battery
 
Back
Top Bottom