Mungu najua ananitaarifu kuhusu jambo muhimu ila naona simuelewi

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
2,757
Points
2,000

fogoh2

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
2,757 2,000
Mungu hawezi kukuletea ujumbe halafu usiuelewe Maana yake huyo Mungu amefeli,alitaka kukufahamisha Jambo Ila ameshindwa akufahamishe vp maana hukamuelewa mpaka Hapo huyo sio Mungu so futa kabisa hizo habari za Mungu kukuletea maono.hiyo Hali inatokea tu unapokua haupo sawa kwenye mindset yako labda huna hela ,umepigwa kibuti ,una ugomvi na ndugu au rafiki flani ,umekosa kitu flani nk nk nk.tafuta pesa mkuu Mambo yote yatakaa sawa
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,739
Points
2,000

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,739 2,000
Huu ulimwengu ulianzaje?
Vyovyote ulivyoanza, haujaanza kwa kuumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ungeanza kwa kuumbwa na Mungu huyo, usingeweza kuwa na mabaya, njaa, magonjwa, uonevu, wapendanao kutenganishwa kwa kifo na kadhalika.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,739
Points
2,000

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,739 2,000
Mungu hawezi kukuletea ujumbe halafu usiuelewe Maana yake huyo Mungu amefeli,alitaka kukufahamisha Jambo Ila ameshindwa akufahamishe vp maana hukamuelewa mpaka Hapo huyo sio Mungu so futa kabisa hizo habari za Mungu kukuletea maono.hiyo Hali inatokea tu unapokua haupo sawa kwenye mindset yako labda huna hela ,umepigwa kibuti ,una ugomvi na ndugu au rafiki flani ,umekosa kitu flani nk nk nk.tafuta pesa mkuu Mambo yote yatakaa sawa
Dhana hii inathibitisha Mungu hayupo.

Angekuwepo, kungekuwa hakuna mjadala kuhusu kuwepo kwake.

Kila mtu angeelewa na kukubali kuwepo kwake bila mgogoro. Bila mahubiri, bila msahafu wala tafsiri. Angeweka habari zake zote kwenye DNA kila anayezaliwa azijue bila hata kufundishwa.

Yani iwe hata ukipotea porini huna msahafu, DNA yako ina habari zote za Mungu huhitaji msahafu.

Kuwapo kwa migogoro kwenye imani ya Mungu, si tu kati ya wanaoamini Mungu yupo na wasioamini, bali pia miongoni mwa wanaoamini wa dini mbalimbali, na hata madhehebu mbalimbali katika dini moja, kunaonesha Mungu hayupo, ni hadithi za watu tu

Hivi kweli Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote awepo, halafu aachie watu wauane kwa sababu hawa Shia na hawa Sunni, au hawa Wakatolili na hawa Waprotestanti, au hawa Mahayana na hawa Theravada, au hawa Wahindu na hawa Waislamu?

Mnakubali kabisa Mungu yupo? Kashindwa hata kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kuuana kwa jina lake tu, tujue jina lake takatifu?
 
Hennah

Member
Joined
Sep 13, 2019
Messages
15
Points
45

Hennah

Member
Joined Sep 13, 2019
15 45

Unaamini kama kuna uchawi au shetani?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,739
Points
2,000

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,739 2,000
Unaamini kama kuna uchawi au shetani?
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Uchawi ni nini? Shetani ni nini? Unaweza kuthibitisha vitu hivyo vipo?

Utajuaje huu ni uchawi na si kitu ambacho hukijui tu?

Kwa mfano, mtu asiyejua sumaku inavyofanya kazi, unaweza kumwambia una chuma cha uchawi kinachonasa vyuma vingine kichawi. Ukamuonesha, akakubali hiki ni chuma cha uchawi.

Wakati sumaku si uchawi, ni fizikia tu.

Sasa wewe unaposema habari za uchawi, umejiridhisha vipi hujafanyiwa mazingaombwe tu kama kuoneshwa sumaku usiyoijua, ukasema huu ni uchawi.

Zaidi, maisha yako yote ushawahi kushuhudia hicho kinachoitwa uchawi? Au unasikia hadithi tu?

Mimi sinawahi kushuhudia.

Shetani unajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi za watu tu?
 
Renegade

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Messages
4,857
Points
2,000

Renegade

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2009
4,857 2,000
Wakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.

Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.

Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.

Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.

Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.

Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.

Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.

Karibuni mnisaidie JF family.
Jarubu kuomba kwa muda mrefu au Tenga muda funga na kuomba utapata majibu.
 
madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
889
Points
1,000

madindigwa

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
889 1,000
Wakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.

Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.

Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.

Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.

Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.

Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.

Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.

Karibuni mnisaidie JF family.
Oa
 
Nhinawe

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
150
Points
250

Nhinawe

Senior Member
Joined Jul 11, 2015
150 250
Acha kufanya vitu nafsi yako haiwezi, mfano usilazimishe kunywa pombe au kudanganya wakati nafsi yako haitaki hii itaondoa mgogoro na nafsi ulionao sasa, pia jifunze kuishi kwa ratiba na uwe na muda wa mazoezi asubuhi na jioni, uwe jirani na Kanisa, Msikiti au Mila na desturi kilingana na imani yako
"Achy kufanya vitu nafsi yako haiwezi mfano........kudanganya wakati nafsi yako haitaki". Huu ni ushauri muhimu sana.
Kwa maneno mengine ni kwamba nafsi yako inakusuta kwa matendo ambayo unajua dhahiri hupaswi kuyatenda.

Ushauri: Achana nayo yote unayotambua kuwa unakosea kuyatenda, utapata amani hakika.
 
Englishlady

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Messages
1,187
Points
2,000

Englishlady

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2013
1,187 2,000
Mimi ni mtu.

Mwanaadamu maana yake ni mtoto wa Adamu.

Kwa maana ya kwamba Adamu ndiye alikuwa mtu wa kwanza aliyeumbwa na Mungu.

Mungu hayupo na Adamu si mtu wa kwanza, habari zake ni hadithi tu za Wayahudi.

Hivyo jina la "mwanadamu" lina msingi potofu.
Wewe mtu umetokea wapi?

Au huyo mtu wa kwanza ametokea wapi?
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
2,280
Points
2,000

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
2,280 2,000
Wakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.

Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.

Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.

Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.

Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.

Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.

Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.

Karibuni mnisaidie JF family.
Pole sana. Nichek inbox asap!
 
Forum statistics

Threads 1,343,339
Members 515,022
Posts 32,781,310
Top