Recent content by kadoto

  1. K

    JamiiForums Tanzania BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    nijulishe soko na simu ili yufanyevkuzitafuta
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Huyo kujadili elimu cyo kazi yako tulia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Form six 2015 kufanya mtiani wa taifa mwezi wa pili

    Hayo yote ni kwa wizara ya elimu, mtu akilala anamka na sera zake. ndo maana somo la kilimo lilifutwa na kurudishwa, masomo yakaunganishwa na baadae ikawa wanavyotaka Hivyo usishangae hata wakibadili.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga aleta ujumbe na kisha afariki

    Mi nadhani kama ni hvyo na matukio ndo hivyo
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    R.i.p john komba, sasa mungu amekupenda zaidi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Naona ccm kisherehe zaidi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kyerwa na karagwe ni ujinga uliopitiliza - uchaguzi serikali za mitaa

    Kumbe huko siasa ni ngumu, hata hivyo Murongo watu ni mchanganyiko.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuinua elimu (ufaulu) Maswa kwa ujenzi wa Maabara, je ni ufisadi mwingine?

    je maabara huyo itakuwa imekamilika fikia nov 30 mwaka 2014????? tafakari uharaka wa ujenzi huu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inaendeshwa na Siasa tuzinduke, Kiswahili hakifai tuige mazuri ya Wenzetu

    Kweli Elimu ni siasa ktk Tz. Mungu inusuru.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi free Slideshow maker

    Utegenezaji wa slide na music uko poa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye Mawasiliano ya Rais Kikwete amjulishe hili

    Kuna aina za uraia 1. By birth, 2. Registration 3. Naturalization. Hivyo atakuwa amezingatia aina hizo. Hapa ni suala la nchi ili wapate raia wengi. Mbele kuna swali je watakuwa makini na laws za nch.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere

    Unamkumbuka mtu huyu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hospitali za serikali

    Mimi nashangaa kuona kama unaenda hospitali ya serikali unakaa folen halafu unaambiwa dawa ununue nje ya hospital. Hapo kuna hospitali, au nijue kwa utafiti wenu JamiiForum
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mnawanyonga Walimu!

    Mwaka huu BRN itapeleka mpaka div 60. Ndo mkakati wa sasa. Jipange waalimu kwq matokeo makubwa sasa bila big salary ghafla. Oyeerrrrr waalimu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha sitosahau kinachorushwa na Radio Free Afrika

    Story nyingi zinaweza kuwa halisi kutokana na mtu mwenyewe. So usione story na kuipotezea.
Back
Top Bottom