Recent content by kadoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zina maana gani?

    Sio ndoto nzuri hizo una jini mahaba hebu Fanya mchakato kwa imani yako ya dini likae mbali
  2. K

    JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Hili nalo tatizo huoni kama unahukumu watu kwa makosa yaso yao. Usifanye hivo mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nashndwa kumuacha licha ya yote haya

    Mmezaliwa pamoja? Amka kijana hangaika na kutafuta pesa mke mwema atakuja hiyo si ridhiki yako Baba hamna mapenzi hapo kalaga baho
  4. K

    JamiiForums Tanzania Share experiences kama umeshawahi kuuza au kununua Papuchi

    Walikukataza kumalizia???
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimenasa kwa mchina

    Tule tumacho twao tuu looh
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimenasa kwa mchina

    Utakoma tunasubiri mrejesho tuje kukuona Hospital gani mmezoea kuwadonoa mademu wa kibongo umeingia chaka sasa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya mpenzi wangu kupendelea kufanya tendo la ndoa gizani, nimegundua siri kubwa

    Njoo unikwangue Mimi nimechanikachanika kama pundamilia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanamke anayejielewa

    Umefanikiwa kumpata?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Demu wangu anataka kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    mwambie ushetani wake apeleke huko sodoma alikoutoa shubaamit mkubwa ndo hawa wanaofanya jua linazid kuwa kali dunian
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kama mke na mume lakini hana mpango wa kunioa, nifanyeje?

    chukya hatua mapemaaaaaa unapoteza muda hapo mama
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiislam

    Nipm nikupe mchumba mkiridhiana heri
  12. K

    JamiiForums Tanzania Subira yavuta heri, ipo siku utampata mtu sahihi

    Afadhal unifariji nafuta macho nasonga mbele kumsubiri nloandaliwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Usimpotoshe mwenzio si kila mwenye mtoto anashida ya kulelewa mtoto wake.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    Tusamehe mungu baba sisi viumbe wakosaji
  15. K

    JamiiForums Tanzania " Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

    Mara Tartu mkuu
Back
Top Bottom