Umempa ushauri sahihi kabisa hizo martial art asijaribu atapata kilema cha ukubwani acheze boxing ila kama unawiwa nikupe namba ya Sensei akutoe machozi mtu mzima
Dah.... maisha haya huyu mtoto nimefungua dimba mwenyewe nimepiga sana ilikua bado kidogo nichezee 30 years ila kimafia nilimdindia mshua wake na alikua poti na mama nae poti mziki ulikua wa moto jangwani sec pale ila mura nikatoboa japo nilitikiswa mpaka financially
Manoni yangu
Huyu kijana kapunguzwa na Sebastian Ndege nahisi ndo supply mkubwa wa Sigara bwege kwa Harmonize. Hivyo nahisi baada ya Dr kurejea kumsimamia Mmakonde akaamua kupunguza vijana wote wanao onekana kumshawishi bwana konde kutumia sigara bwege Nijambo Jema kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.