Mbona wote mnshambuliwa kuwa na wanawake vilaza? Wewe unasema hata inaongozwa na kilaza?
Mbona hakuna anayesema mama yake yaani mke wa Baba yake ni kilaza??
Ila hao watoto wenu mama zao ndo vilaza tuu why?????
Mnaosema serikali tukufu ya mapinduzi ya mwaka 1964 ni nyie Wana CCM mnaosema hii serikali ya Tanganyika ni halali.
Hizbu na wapenda amani wote walilaani Yale mapinduzi na serikali Ile ni haramu.
Nenda YouTube msikilize Aman Thani aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hizbu akieleza uharamu wa mapinduzi ya...
Haramu ni kitu kinapatikana kinyume cha utaratibu.
Kama huko CCM mnaona kuua watu na kujiapisha ndo uhalali wenu Sawa.
Hatuwezi kuwa na mtazamo unaofanana.
Hata marekani iliona utawala wa Venezuela ni haramu ingawa ulichaguliwa na wananchi, kwa vile ana mabavu akauondoa.
Hapa kwetu wanaosema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.