Recent content by Kadegree

 1. K

  Semeni yote kuhusu Lissu lakini kuna ambao kwao ni zaidi ya mtetezi

  Kiukweli Mh. Lissu naweza kumuita Great hero maaana mi binafsi pia alishawahi kunisaidia. Pia, nakumbuka huyo mzee baada ya kushinda kesi alihamia CHADEMA hadi leo na alikuwa ni diwani wa kudumu mpaka 2010. Tuendelee kumuombea mh. Tundu apone mapema.
 2. K

  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida apata ajali. Hali yake si Nzuri, yupo Kiomboi Hospital

  Mwenyezi Mungu amponye yy pamoja na family yake.
 3. K

  Safi sana wabunge wa UKAWA

  Hakika Dr. Slaa alikuwa ni mwanaume katika kutafuta na kutetea haki za wanyonge. Zitto pia huwa harudi nyuma katika kutetea maamuzi sahihi. Miaka ya nyuma wawakilishi wa upinzani bungeni walikuwa ni wachache lakini wenye ueledi katika kazi yao. Kinachoendelea saa hizi ni kama maigizo tu...
 4. K

  Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

  Kwanini fedha kama hizi tusiziwekeze hata kwenye miradi ya barabara na maji? Vijijini hadi leo maji na barabara nzuri tumebaki kuviona kwenye T.V. Kwanini wanaharakati msitusaidie kwa hili ili tuweze kuwa na usawa? Ushauri wangu jaribuni kufanya makongamano vijijini na kuhamasisha shughuli za...
 5. K

  Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

  Hao vijana wa CHASO wametoa wapi fedha za kukodi ukumbi wa Karimjee?
 6. K

  Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

  UFAFANUZI! Watu wengi wamestuka sana kusikia kuwa kuanzia tarehe 01 Julai 2016, kila utakapotoa fedha kwenye ATM au huduma za fedha kwa mitandao ya simu, TRA itachukua asilimia 10 ya pesa hizo. Ukweli ni kuwa kodi hiyo ya 10% kwenye muamala wa simu au kutoa pesa kwenye ATM itakatwa kwenye...
 7. K

  CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

  Mkuu Kwanza nikupongeze kwa kuwasilisha na kuchanganua mawazo uliyonayo. Binafsi baada ya kuyasoma nami naomba pia niwasilishe mawazo yangu. Siku zote nguo inapochafuka inahitaji maji safi na sabuni ili iweze kufuliwa na kutakata. Nije sasa kwenye mada, kuhusu kilichotokea Monduli ambapo...
 8. K

  Napenda kupiga push up

  Habari mkuu, binafsi nina uzito wa 82kg ni kitambi pia. Nahitaji kukata tumbo vile vile kujazia mikono. Nifanye mazoezi gani ?
Top