Recent content by kadeco

  1. kadeco

    JamiiForums Tanzania NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Najua kuna watu wengi wakristo kwa waislam ambao wameguswa na huu uzi. Narudi kwenu kuomba tuufunge rasmi kwa manufaa ya taifa. Nina rafiki zangu wengi waislam na hata ofisini wapo tena wanafanya kazi vizuri mno na competent kweli ila katika intake za miaka minne iliyopita hapa baba aliteleza...
  2. kadeco

    JamiiForums Tanzania NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Siwezi kuweka majina ya watu hapo kwani ni kinyume na taratibu pia nikiweka majina ni sawa na kuweka kibarua changu rehani. Nafikiri nafasi ya kuchunguza hili jambo lipo wazi na ukweli au uongo wangu utajulikana soon tena kabla hata jogoo hawawika. Njia zipo njia za kudhibitisha kama unataka.
  3. kadeco

    JamiiForums Tanzania NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha...
  4. kadeco

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vurugu mbagala hiki hapa

    Waislam ni wanafiki sana. Wakiwa peke yao wanasema uhuru wa tanzania uliletwa na wao. Wakiwa azarani wanasema Nyerere ndo alileta uhuru hawa magaidi vioi mbona siwaelewi
  5. kadeco

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vurugu mbagala hiki hapa

    Umetumwa si bure maana hizi habari ni za kupika ili kuhalalisha unyama ulofanywa na waislam. Hakika umefel mapema katika hatua ya kwanza wewe na kisiwa. Wakristo ni easoni hawawezi kudanganyika kirahisi hivi. Lol!
  6. kadeco

    JamiiForums Tanzania Taifa la Kesho Tanzania

    Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi!
  7. kadeco

    JamiiForums Tanzania Matusi haya ya Wamalawi kwa Watanzania yanachukiza....Wanatuita Stupid neighbours!!!eti sisi wajinga

    http://www.nyasatimes.com/?p=32840#comment-339360
  8. kadeco

    JamiiForums Tanzania Matusi haya ya Wamalawi kwa Watanzania yanachukiza....Wanatuita Stupid neighbours!!!eti sisi wajinga

    Nimetafakari sana kuanzia mwanzo wa hii thread, nafikiri wamalawi wana kila sababu ya kutuporomoshea matusi kwani hata sisi wenyewe hatujijui. Angalia juzi Mbagala wale jamaa wametutukana na kutuchomea makanisa yetu ila mkubwa kufika kule akawa anacheka tu! Unafikiri hizi taarifa hazifiki nje...
  9. kadeco

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama amuomba Nape awe mfano wa Kukiwezesha CCM kuwa chama Pinzani Makini

    Yupo sawa kabisa , ccm umefika muda sasa wa kujiandaa kuwa chama makini na kinachotegemewa cha upinzani hapa Tanzania. Unajua surprise si nzuri hivyo wajindae mapema taratibu hadi 2015
  10. kadeco

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya VS Esther Wassira

    Ester Bulaya anaonekana anatumia sana "hoja ya nguvu" katika ushawishi wakati Ester Wasira anatumia "nguvu ya hoja". Jana Ester Wasira nilimchek akijenga hoja, ni mzuri katika kushawishi, anajiamini, anajua nini anakisema peke yake bila kusimamia miguu ya chama. Bulaya anatumia sana miguu ya...
  11. kadeco

    JamiiForums Tanzania maujanja ya kupata whatsapp kwenye iphone plss

    Bofya hiHo link; http://whatsapp.com/dl/f
  12. kadeco

    JamiiForums Tanzania AAR na wizi wa mchana kweupeeee!!!

    Kwa siku za hivi karibuni pamezuka wizi wa kuaminika unaofanywa na company ya bima ya afya iitwayo AAR. Kwa wale wafanyakazi ambao wanatibiwa chini ya company hii kwa kutumia kadi za waajiri wao wamekuwa wakibambikiziwa bill kubwa saana bila wao kutumia hiyo huduma au hailingani kabisa na huduma...
Back
Top Bottom