Recent content by kada1

  1. K

    Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

    Yaani hapo umenena ndugu, kwanza yeye mwenyewe anajuta kuacha kugombea Ubunge, kwa sababu anazikosa posho. Hujachelewa mzee Slaa gombea tu 2015 ubunge maana uraisi huupati ng'oooo. Labda Zitto Kabwe sio wewe ambaye umejaa Ukatoliki na Uchaga na Ukanda. Tunataka aliyeshiba U-Tanzania.
  2. K

    Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

    Mwongo huyo, akawadanganye hukohuko kanisani alikokuwa akitumika, mzushi huyu siwezi kumuamini hata kidogo, tangu azushe issue ya kontena la kura, mfuko wa cement kuwa 5000 na mengine mengi simwamini huyu.
  3. K

    Kwa hili, Hongera Mh. Rais Dr Jakaya Kikwete!

    Mimi binafsi nampongea JK!! Ingekuwa Dr. WPS na hali kama hii pangekuwa hapatoshi hapa TZ. Maana kwa kukurupuka yule mzee!! Hajambo kwa hilo.
  4. K

    Pendekezo: Madaraka Nyerere awe mgombea urais wa CCM

    Marehemu CHADEMA, Hamuji tu kuwa nyie ni marehemu, subirini mwone. CCM Gari kubwa huliwezi wewe nyangau.
  5. K

    Arusha: Kituo cha mabasi ni mali ya chama

    Mtajiju!!! Utawajua tu kazi kubeza kila kitu hata kama ni kizuri. Nyie mnaolipwa na Mbowe kuja kuiponda CCM hamna sera. Endeleeni na kazi yenu mwona kama inalipa!!!
  6. K

    Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

    1. Dr W. Peter Slaa 2. Zitto Kabwe 3. Mbowe 4. G. Lema 5. Magazeti yote isipokuwa(Dira na Raia Mwema) 6. Cameroon wa England
  7. K

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Mmmh!!! Nakushukuru Mungu wa Mbinguni kumponya huyu Baba. Sijui ingekuwaje? Kwa kweli Wa TZ wa sasa wana Hasira sana ndio maana nasema Nashukuru.
  8. K

    Tumewagaragaza CCM

    Dua la kuku halimpati mwewe. Hivi mnafikiri ni rahisi ki hivyo. Oteni ndoto za mchana wa saa nane tu!! CCM GARI KUBWA. Ndio maana tunasema na nyie mnajua kuwa CCM Ni No 1. Thanks and Regards, Kada wa CCM.
  9. K

    Angalizo kwa CHADEMA juu ya Jimbo la Kigoma Kusini!

    Acha dharau wewe mtoto. Kwenu hakuna wakubwa eeeh.
  10. K

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Ha ha ha !!! Nimeipenda sana hii, Lema Upooooooooooooooooo........... Take action achana na u...........
  11. K

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Acheni Majungu, mwacheni apate Masters yake. Wa TZ hatuna mentality ya kujituma na kufanya kazi kwa bidii, sasa mtu akifanikiwa kimasomo katika mazingira ya kuwa na majukumu mengine halafu anasoma mnaanza kuuliza kilikoni. Fanyeni kazi, Unaweza ukawa busy na kazi na bado ukasoma tu.
  12. K

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Acheni Majungu, mwacheni apate Masters yake. Wa TZ hatuna mentality ya kujituma na kufanya kazi kwa bidii, sasa mtu akifanikiwa kimasomo katika mazingira ya kuwa na majukumu mengine halafu anasoma mnaanza kuuliza kilikoni. Fanyeni kazi, Unaeza ukawa busy na kazi na bado ukasoma tu.
  13. K

    Askofu aionya serikali ya JK: Ataka iache kudhoofisha upinzani, kulinda amani iliyopo, NEC haifai

    Basi hata kuna askofu hapa?? Wote wanaganga njaa tu. Hamuoni wanavyowakaribisha wale wa Mndl kuchangisha fedha!! anatafuta tu namna ya kuzimishwa aache kusema hivyo kwa kupewa f.....e......d.......h.....a......, napita tu wala sichangii hii mada.
  14. K

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Wote chadema nyie na mnakuja na hoja za ajabu sana tena nyepesi nyepesi!!! Hilo ndio mnaona la kujadili!!! Great thinkers!!!! Au majungu tu!!?
  15. K

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Acheni Uzushi!!! Sasa kama hakuvaa ndio nini? Mtu akiwa na mke wake wanafungishwa ndoa kanisani au mbele ya Shekh ni lazima ambusu mbele ya watu ndio mjue kuwa anampenda anayemwo???!! Asipombusu basi hampendi?? Huo ni ushamba sana wa baadhi ya watu.
Back
Top Bottom