Na: Idara ya itikadi na uenezi CCM Taifa.
12 May 2018
Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefafanua kwa kina mahusiano yaliyopo kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu katika mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu ambapo wanachama zaidi ya 1000 wa...
Na Jumanne Lutengano Majoka
Mjasiriamali Mbeya Mjini.
Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Kheri Denis James (MCC) ametembelea kituo Cha Habari Efm na Etv katika Ofisi zake zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam
Akiwa katika ziara hiyo ameahidi kuendeleza ushirikiano na vyombo vya habari pamoja na kupongeza wadau wa...
Na Yahya Msangi (PhD).
Lome - Togo
Nimepitia kurasa mbalimbali za vijana na wengi leo wamelalamikia mishahara kutoongezwa na raisi. Siwalaumu sana kwa kuwa ndivyo walivyoaminishwa na hakuna anayewaelimisha.
Wengi wananukuu au kuongozwa na historia; wananukuu "enzi ya Nyerere". Tatizo ni...
Na Dr. Anthony M. Diallo
Historia nzuri sana hii
Kuanzia mwaka 1978, ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Kenya, vilikuwa ardhi na mbingu.
Tanzania ilijikuta katika vita, na baada ya vita ikajikuta mufilisi.
Fikiria Taifa lilihitaji dola milioni 300 tu hivi za kufufua uchumi, lakini...
Anaandika Joseph Kalala, Urbana University.
Kama haujapata kuuelewa ufunuo basi huu ndio ufunuo wa kweli kuhusu mambo haya yanayoendelea Tanzania;
1. Mabalozi kadhaa kutweet na kuretweet tukio la hivi karibuni la tuzo za haki za binadamu ni ufunuo kuwa mabeberu wanateseka wa maendeleo...
By Derek Murusuri, Business Analyst
29-4-2018: INCONCEIVABLY when an influential business man based in Africa to try and
convince the British Government to re-annex the United States of America to raise a hyper
power on earth that would ensure a lasting world peace.
In a world dominated by...
Anaandika Sheikh, Dr Yahya Msangi(PHD).
LOME, TOGO.
Ni vyema wenzangu mkaelewa yanayojiri nchi nyingine ili mtafakari kwa makini.
Kumekuwa na harakati za kuandaa maandamano nchi mbalimbali Afrika toka kipite kimbunga cha ARAB SPRING. Kipunga kiklichoanzia Tunisia kikasambaa kwa kasi Misri...
Kuhusu Zahera Mwinyi.
1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project"
Katika project kuna Mambo makuu matano.
1. Initiate
Hapa tunaona kwamba Kuna uanzishwaji wa wazo(idea) katika project...
Kuhusu Zahera Mwinyi.
1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project"
Katika project kuna Mambo makuu matano.
1. Initiate
Hapa tunaona kwamba Kuna uanzishwaji wa wazo(idea) katika project...
TAARIFA 23/04/2018
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg.Kheri Denis James na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa amekutana na kufanya mazungumzo na Profesa Megan Hershey mhadhiri mwandamizi kutoka kitivo cha Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha...