Polepole: CCM ndio chama pekee kinachoishi asili ya muungano

Hatuna uhalali sababu tumerithi!! Acha utani Polepole..Wakati Nyerere na Karume Wanaungana Walishauriana na Wananchi?
Yalikua Maamuzi yao au ya Wananchi?
Zanzibar walikosea Sana Kuungana..Nchi ya Watu Million 1.5 Eti Nayo ni maskini ..
Karume Kipindi anastuka Kakosea Akauawa (Sababu ilikua Muungano) Aliyemfuatia Akajaribu akawekwa Kizuizini Mpaka Amefariki..
Polepole ni hivi..Hata Huyo Muasisi (Karume)Alisha ukataa huu Muungano(Akiufananisha na Koti)
Muungano una Maslahi na CCM siyo Taifa..
Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba Ndiyo ingeimarisha Huu Muungano na Siyo hizi porojo Zako.
 
Hivi ni muungano au muunganisho coz unaweza unganishwa wakati hutaki kuungana
 
Back
Top Bottom