Mwenyekiti UVCCM Taifa avipongeza vyombo vya habari kwa kuwasemea wananchi

KADA08

Member
Dec 2, 2017
44
152
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Kheri Denis James (MCC) ametembelea kituo Cha Habari Efm na Etv katika Ofisi zake zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam

Akiwa katika ziara hiyo ameahidi kuendeleza ushirikiano na vyombo vya habari pamoja na kupongeza wadau wa Habari kwa kuwa Msaada Mkubwa wa kuwasemea Wananchi.

[HASHTAG]#TukutaneKazini[/HASHTAG]
 
Hata Mimi navipongeza Kwa ujasiri Wao wa kureport Habari kuanzia Nov 5, 2015
 
Back
Top Bottom