Yaani hovyo kuliko hovyo yenyewe.
Wameweka utaratibu wa kuwasiliana nao (Get intouch) request kwenye website zinafeli, namba za simu zilizopo kwenye website yao hazipatikani, emails hawajibu, kwenye social media hawako active!!!
Yaani mteja nahangaika kuwatafuta wao ili niwalipe, ni Watu wa...
Ni kweli mkuu, unatakiwa upange bei kulingana na thamani yako na ndo maana mwaweza kuwa kampuni moja & postions zinazofanana bt different salaries.
Ila kwa Bongo its very rare applicable, na hivi ajira ni shida!
Askari siyo mpenda makuu, kama ametukanwa ni kosa na ni lazima aliyetukana aonywe/aadhibiwe. Hiyo faini aliyokubali kulipa inahusu makosa ya barabarani, tuache kuteteana kwa vitu kama hivi kisa yeye ni mke wa kiongozi. Isitoshe yeye ni mke wa kiongozi, anapaswa kuwa mfano. Siyo kuleta dharau na...
Kama unaweza deposit pesa kwa kutumia card namba, mi nahisi hiyo ndo acc number yako. Nadhani hizo ni mbinu za kibiashara kuvutia wateja(kuwa wanakuuzia card tu),
huenda wanashughulikia wenyewe kukufungulia acc. Endapo unaweka pesa kwao ili ufanye manunuzi online, basi hata bank statement...
Sorry mkuu, wakati wa kufanya registration ile box ya PROMO CODE unajaza kitu gani? Nimekutana nayo hiyo wakati najisajili. Nikaamua kusitisha zoezi & nikawauliza via e-mail, naona kimya sikujibiwa mpaka leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.