Hatua nzuri. Ila walipaswa kumkamata wakati huo huo alipotangaza kuwa yatatokea mambo ya hatari baada ya Eid. Wananchi wanapaswa kulaumiwa kwa kutofikisha taarifa sahihi kwa vyombo vya usalama
Kuna mambo yanakera na yanasikitisha.
Aibu ya Mbowe ni aibu yetu sote wana CHADEMA. Kilichofanywa na Mbowe kukiuka maadili kwa kweli hapaswi kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA hata kwa nukta moja. Hili ni jambo zito amelifanya mwenyekiti wetu. Kama angejua uwajibikaji, kwa kweli angetangaza...
Inanikera, inanisikitisha na kunihuzunisha. Tuliokuwa watetezi wa rasilimali za nchi hii leo hii tumegeuka kuwa makuwadi wa mabepari na mabaka uchumi wa nchi hii. Hatujielewi na hatujitambui ama tumelamba chochote kitu kutoka kwa ACACIA.
Leo hii mtu na akili zake eti anasimama kupinga uamuzi wa...
Imeniuma na imenisikitisha sana. CHADEMA sasa tumekubuhu kwa kuibaka Demokrasia na sasa tunaibaka waziwazi bila ya kificho.
Mtakumbuka kuwa Wabunge walioteuliwa na chama chetu kwenye abunge la Afrika ya Mashariki, Wenje na Masha walikataliwa Bungeni kwa kupigiwa kura za hapana. Hali hiyo...
Huyu Kamanda alitusaidia sana kuiwajibisha Serikali yetu. Alitusaidia kuibua ajenda za kuipiga CCM kwenye mitandao ya kijamii. Alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja ambaye alijitolea kupambana na Serikali ili kunusuru chama chetu CHADEMA. Nilimuamini na nikajua tumepata mgomba Urais sahihi wa 2020...
CHADEMA tumekosea sana na tunaendelea kukosea. Tumemkosea Rais Magufuli na tumewakosea Watanzania. Tuna wajibu wa kumuomba radhi Rais Magufuli na Watanzania kama tunataka kufika salama 2020.
Tanzania ilioza sana. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi hakukosea aliposema kuwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.