Recent content by kachonjo

  1. kachonjo

    Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

    Alikuwa Na urafiki kabla ata ajafunga ndoa Na wewe . Utamchagulia mpaka lini mumeo marafiki ... Lipiza Basi nayeye aumie si 50/50 .. mpe limbwata awe zuzu Na akiwa zuzu yeye Na kizazi chake watoto wenu watakuwa masikini mbwa milele amini ... Dai talaka Basi ...ko kama nimefunga ndoa Na ww...
  2. kachonjo

    Master Jay wa BSS unaboa

    Bt pac aliwai ingia bef Na snoop
  3. kachonjo

    Master Jay wa BSS unaboa

    Tupe uchambuzi wake mkuu
  4. kachonjo

    Mzee Rungwe anaeleza kisa cha binti yake kutekwa

    Mzee rungwe Kwa masikitiko anaeleza kuwa binti yake Na mkwee walitekwa. Lakini watekaji awakutaka chochote toka kwake .walikaa Na mwanae wiki kisha kumtupa usiku mitaa ya sinza .pia mkwee walikaa nae miezi minne ndipo wakamwachia. Mzee rungwe anasema kutekana ni mambo ya kishamba Ushaidii...
  5. kachonjo

    Naitaji mafunzo ya Adobe premiere

    Nipo ubungo River side . naitaji mtu ataye nipa mafunzo ya kutumia Adobe Photoshop Na Adobe premiere. Nita fidia mda wake Kwa pesa tutayo kubalia kutokana Na mafunzo .. Kwa yoyote mwenye kujua kutumia vizur izi program anisaidie
  6. kachonjo

    Laptop yenye uwezo gani itanifaa kwa matumizi aya ??

    Naitaji kujua ni laptop yenye uwezo upi ambayo itanifaa katika matumizi haya Graphics Disign Photoshop Video editing Kwenye video editing naitaji kutumia program izi Adobe premiere Adobe Photoshop Adobe after effect Pia naitaji kuitumia kutengeneza bet Na kufanya products za music Naomba...
  7. kachonjo

    Mrejesho: Nimepata mchumba lakini nahisi anatania

    Yeye uwa anakupa nini adi unampatia pesa
  8. kachonjo

    Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    ARV unachukua hospital gani????
  9. kachonjo

    Hivi ni sahihi kumwita mume wako baba?

    Kwani Makahaba sio mama... Nani ka kakwambia mama au baba ni cheo.... Ingekuwa cheo ata uyo mama yako akupaswa kuitwa mama
  10. kachonjo

    HP Laptop mpya inauzwa

    Poa mkuu
  11. kachonjo

    HP Laptop mpya inauzwa

    250000 vipi
  12. kachonjo

    Suge Knight : 28 years in prison

    Dude suge Na kijana wake
  13. kachonjo

    Suge Knight : 28 years in prison

    Toto ya nyoka aiwezi kuwa mjusi
  14. kachonjo

    Suge Knight : 28 years in prison

    Anaitwa sugej Knight
Back
Top Bottom