Master Jay wa BSS unaboa

Hahaha, kuna interview sikumbuki ni kwa Ebro au wapi jamaa alikuwa anaelezea jinsi Pac alivyo mpa sapoti wakati jamaa amepata demu na anataka kuoa, washkaji wote wakamkatalia, halafu PAC ambaye ndo alikuwa mkuu wa kigenge akamwambia hilo ni bonge la wazo.

Alioa na mpaka leo wako wote.
Bt pac aliwai ingia bef Na snoop
 
Master Jay una boa wewe jamaa. Hizi ni chuki za wazi kabisa kwa mshiriki Aboubakari. Haiwezekani wiki tatu mfululizo unamponda tuu kijana wa watu. Hata kama ndio kukosoa sio ki hivyo unampotezea comfidence na unampotezea kura pia. Kijana anajitahidi sana hata kama kuna wanaojitahidi zaidi yake. Ishu ya ww kukomalia ni wa kawaida daily ndo nini sasa mtoeni basi. Usiwe na double standards kwa washiriki. Ujumbe huo ukufikie kama hauko humu mkeo Shaa atakwambia yuko humu.
Anamponda mbaya sio poa ila huenda kukamfanya dogo ajitume zaidi.
 
Siku niliyoacha kuangalia BSS ni siku ile nilipoona ubaguzi wa rangi wa waziwazi. Jopo zima la majaji.

Sikumbuki ilikuwa ni mwaka gani, ila nachokumbuka ni mzungu kushiriki tena alikuwa anapendwa mno hata tano bora akafika. Kilichomponza ni rangi yake, majaji hawakumpenda pia.

Yaani jamaa akawa akiimba anamaliza, cha kukosoa wanashindwa zaidi ya kumwambia maneno mabaya. Ikiwemo "Unajua wewe ni mjanja sana, umechagua nyimbo zinazopendwa tu na mashabiki" "Mashabiki wanachanganywa tu na hiyo rangi yako, wakitokwa na hali hiyo hawatakushangilia kabisa"

Yaani huwa tunalalamika ubaguzi kwa wenzetu akibaguliwa mwenzetu. Ila tunasahamu sisi ni wabaguzi kuliko.

Ukweli mchungu lile shindano Mzungu alishashinda kwa kura na hata uimbaji, kulifanyika figisu. Ndiyo nikaacha kuangalia hadi leo hii.

Hakuna cha kutafuta vipaji wala nini, wanapanga ashinde nani hata kama hana vigezo.
 
Yani wanapanga kabisa nani wampe so sad
 
Yani wanapanga kabisa nani wampe so sad
Huo ndiyo ukweli, lile si shindano ila uvundo tu. Siku ile sikuona wa kumfikia Mzungu yule, anabadili namna ya uimbaji na hakosei wenyewe walikosa la kumkosoa. Ila wamekuja kumpa mtu tu, ambaye ameonesha wazi alibebwa.

Ujinga huo uliongozwa na Madam Rita na Master Jay, siku ile walikuwa wakiropoka hovyo tu.
 
hainaga mvuto ndiyo maana ha
ta sponsors wanaikimbia...imebaki jina tu...show ya kifake sana dunia nzima...Master Jay kwanza kashazeeka hata misingi ya music hanaga tena...kabakia kubwabwaja tu kama Dudubaya
Yule mzee wa Konky?
 
Siku niliyoacha kuangalia BSS ni siku ile nilipoona ubaguzi wa rangi wa waziwazi. Jopo zima la majaji.

Sikumbuki ilikuwa ni mwaka gani, ila nachokumbuka ni mzungu kushiriki tena alikuwa anapendwa mno hata tano bora akafika. Kilichomponza ni rangi yake, majaji hawakumpenda pia.

Yaani jamaa akawa akiimba anamaliza, cha kukosoa wanashindwa zaidi ya kumwambia maneno mabaya. Ikiwemo "Unajua wewe ni mjanja sana, umechagua nyimbo zinazopendwa tu na mashabiki" "Mashabiki wanachanganywa tu na hiyo rangi yako, wakitokwa na hali hiyo hawatakushangilia kabisa"

Yaani huwa tunalalamika ubaguzi kwa wenzetu akibaguliwa mwenzetu. Ila tunasahamu sisi ni wabaguzi kuliko.

Ukweli mchungu lile shindano Mzungu alishashinda kwa kura na hata uimbaji, kulifanyika figisu. Ndiyo nikaacha kuangalia hadi leo hii.

Hakuna cha kutafuta vipaji wala nini, wanapanga ashinde nani hata kama hana vigezo.

Ile iliumiza watu wengi, maana yule mzungu alikuwa vizuri sana, aliimba sana nyimbo za 20%.

"...Ya nini malumbano, ya nini maneno, majiweka pembeni naepuka msongamano!..."

Mzungu kwenye kura alishinda wakamchakachua. Maana hata mimi nilijikuta nampigia kwa sababu tu ya ule ubaguzi.
 
Tukio lile ndiyo likanifanya niache kuangalia BSS, si kusaka vipaji. Pale hakukuwa na wa kumshinda jamaa, wanakuja kumpa ushindi mwimba taarabu wanamwacha aliyeimba zaidi ya staili moja tena kwa ufanisi.
 
Mkuu yaani kama mimi aisee, nakumbuka siku moja Madam Rita anamponda mzungu eti ana Masters, ana uelewa mkubwa kwa hiyo anafanya kuwamanipulate washabiki kwa kuchagua nyimbo wanazozipenda.

Sasa nikajiuliza hilo ni tatizo? Au ndo inavyotakiwa kuwa? Walizingua sana siku zile.

Mpaka leo sijui hata waliofata ni kina nani.
 
Siku ambayo majaji walikuwa wamelewa, Master Jay anaropoka hovyo. Eti mzungu kitu gani, ndiyo niliona sisi ngozi nyeusi pia ni tatizo. MJ na Rita siku ile walionesha ubaguzi wa waziwazi, ni bora Salama mara elfu.
 
Anaimba vzr mnooo sauti yake anaichezea atakavyo. Maybe usemacho ni kweli ila kama ni chuki basi anamuharibia sana
Katoka aisee labda soko litaamua huku nje maana pale imeshindikana ila ukweli ubaki kwa sasa waimbaji wanajitahidi sana ila kale ka marasta mengi nadhani kanaweza kuibuka kashindi au huyu mwana hip hop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom