Recent content by Kachero

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba atajwa kuandaa kesi ya Zitto.

    Wakili kufanya consultation kwa Jaji kabla ya kupeleka shauri mahakamani sio jambo jipya.Inawezekana kwa kutegemea ukaribu wa Jaji husika na wakili japo kimaadili ya sheria hairuhusiwi. Kwa mtazamo wa kesi hii ilivyona mvutano wa pande mbili CDM na CCM hili linawezekana kabisa.Ushabiki uwekwe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    watu wakishafilisika kisiasa huwa wanadiscus personalities, udini na ukabila. Alichofanya Kabwe ni usaliti sasa apotelee mbali yeye na wafuasi wake. Chadema wataisikia kwenye bomba tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mashahidi kesi ya ubunge Segerea wakiri makosa

    Ushahidi upande wa utetezi lazima ukamilike kabla hukumu haijatoka,wakuu tutulie tusubiri Prof Juma afanye vitu vyake.Huyu Jaji namwelewa alivyomakini hapa magamba hawachomoki hili jimbo ni la CDM tu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lema ukimwagwa usikate rufaa rudi kwenye uchaguzi

    Huyo Jaji atakayetoa hukumu kinyume na taratibu za kimahakama kwa kuzingatia ushahidi ajiandae kuhama Arusha la sivyo kichwa chake kitakuwa halali ya wana Arusha kama akimvua Ubunge mbunge wao kwa hizo njama zinazopangwa.Kwa jinsi ninavyoifahamu Arusha hakika patachimbika hiyo kesho baada ya hukumu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Kwenye suala hili la Dr.Mwakyembe inaonyesha wazi mchezo mchafu umefanyika,hapa si polisi wala nani atakayeweza kuthibitisha kemikali zinazoathiri bone marrow yake ni za aina gani isipokuwa jopo lenyewe la Madaktari.Kwa jinsi taarifa zilivyo ni dhahiri jeshi la polisi limekuwa compromised kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

    Kama kuna changamoto tutakayokumbana nayo kama Taifa mwaka 2015 ni kumpata Kiongozi muadilifu ambaye ataivusha Tanzania toka hapa ilipo.Kuna kutokuaminiana kwingi baina wa wananchi.Kama wananchi sisi kwa sisi hatuaminiani je itakuwa kwa kiongozi wa nchi kuaminiwa. Lazima tuwe na mfumo imara wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    Kwa kweli malipo ni hapa hapa Duniani na habari hizi zinavyozidi kutoka kila kukicha ndiko kinachozidi kumchanganya kupita maelezo. Huko kuzimika zimika ni kuweweseka kwamba habari zimevuja na hakuna namna ya kuzuia. Hapo waraka wa Dkt. Mwakyembe haujatoka hadharani ukitolewa hadharani mambo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais amteua Bi Amina Said Mrisho kuwa Kamishna wa Sensa ya Mwaka 2012

    Wewe hujui lolote kuhusiana na MKURABITA nenda kwenye website yake upate taarifa ya nini walichokifanya.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Part 3 itakuja na porojo zilezile hapa hakuna kitu ni tisha toto tuu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Umesema vyema mkuu,Jeshini hakuna dharau kwa mkubwa ni heshima kwenda mbele hata kama umemzidi elimu.Haya mambo tuyachambue kwa umakini.Tuchuje pumba na kuziweka pembeni ili tubaki na ngano safi itakayotusaidia kusonga mbele. Lakini kusema ukweli kwa miaka ya hivi karibuni TISS imeonyesha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete apokelewa kwa mabango na bendera za upinzani!

  12. K

    JamiiForums Tanzania Utetezi wangu wa wazi wa William Ngeleja - The use of Emergency Powers Act 1986

    Hata sasa hana suluhisho la tatizo linalotukabili kwa kuwa yeye ni part ya tatizo la umeme tulilonalo hivi sasa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utetezi wangu wa wazi wa William Ngeleja - The use of Emergency Powers Act 1986

    Kama SG ndio suluhisho la matatizo yetu ya umeme ambayo yamedumu kwa muda mrefu kwa nini sasa mradi huu hautekelezwi? ni kwa maslahi ya nani hautekelezwi?,tunapaswa kumfahamu ili tumuwajibishe.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Jairo awataje waliochukua mlungula ili nao waungane nae kwenye kuachia ngazi.
Back
Top Bottom