Mashahidi kesi ya ubunge Segerea wakiri makosa

Segerea kwa CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!
Waharakishe tu kesi iishe tume itangaze uchaguzi ni lini kudadadek!
 
Laana itawaandama mpaka mwisho wa dunia uongo unamwisho huwezi ishi kiuongo uongo halafu mungu akuache tu,wataumbuliwa woote mungu sio shemej yao ****** mwenye hamaliz atakimbia mwenyewe tu simtaona
 
hapa hakuna namna ni kufanya uchaguzi tu......hukumu itolewe haraka sana

.
Alafu makamanda wote wa CDM watie timu na washambulie wote kwa pamoja Segerea kama ilivyokuwa Arumeru! - Duh! .. Hapatatosha .... Sipati picha! ... really I can't get a photo!

.
 
Nashangaa mtu akicheka mahakamani anahukumiwa hapohapo bila hata kujitetea, hawa wanaokiri makosa sijui hakimu anataka mtu mwingine aje ashtaki, "upelelezi ufanyike", alipwe sitting allowence, apate hongo ndio atoe hukumu! Period!!!
...dah! mkubwa umeona mbali zaidi ya jicho!...
 
Kwa uelewa wangu finyu wa mambo ya sheria mtu akikiri kosa kinachofuata ni adhabu au hicho kifungu cha sheria kinatumuka kwass walalahoi tu?
 
CDM tunataka jimbo haraka kabla hasira za meru hazijapoa.....................
 
Apo ni mchezo mchafu unaendelea, kisheria kwanini ni Jimbo ilo tuu wazimamizi awakusain izo form? sasa ni hivi, wameambiwa wakubali yaishe but tunajua izo form zote ni famber kwani zilijazwa ili kuchakachua matokeo, ili kupoteza ushaidi awo watu wamekubali wafe ili kuficha aibu ya Makongoro Mahanga na Chama chake, sasa kwakowa ni kosa kubwa kuto sign form inabidi sheria ya aki ichukue mkondo wake Please!!!!
 
Kesi hii ikiipendelea CCM nitaamini kwamba CCM wameamua kujinyonga wenyewe!
Kukubali kwa mashahd hao ni sababu ya kujitosheleza upande wa jamhuri kushnda kesi.
Ni kama vile,mwizi anakubali kuwa nimeiba,halafu jaji anamwambia nimekusamehe!
Mtu mwenye ubongo wa KILUSINDE pekee ndiye anaweza kufanya hivyo!
 
Ushahidi upande wa utetezi lazima ukamilike kabla hukumu haijatoka,wakuu tutulie tusubiri Prof Juma afanye vitu vyake.Huyu Jaji namwelewa alivyomakini hapa magamba hawachomoki hili jimbo ni la CDM tu.
 
Mkapa ,siku za mwizi huwa hazizidi arobaini, sasa wewe kusema eti tume itangaze kuwa tayari ati ccm ilisashinda na CHADEMA iende mahakamani ulikuwa na maana gani? tuambie ulijikinahi sana maneno yako yaliku laani wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom