Recent content by kacheap

  1. K

    Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

    Poleee..Omba tu msamaha yataisha wanawake sisi tuna roho ya huruma na kujali.utue huo mzigo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Nimetumia Barakoa zimeniletea madhara (side effect)

    Nasikia ni athari ya hiyo dawa walopulizia ya bashite. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Kufungua si mpaka corona iishe . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Kukadiriwa kodi ili upate Tax Clearance, Maujanja tafadhali

    Kama ulishaanza biashara epuka kutaja maozo makubwa kodi ya kibanda isiwe kubwa japo watahitaji mkataba na mwenye kibanda kama sio chako na pia usitaje mtaji mkubwa utatamani uache tu hiyo biashara na ukikutana na boss mkuda hapo ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Kukadiriwa kodi ili upate Tax Clearance, Maujanja tafadhali

    Daah mie nilitamani kulia pale nilipo taja mauzo ya kawaida tu iyo kodi yake sasa niligoma ikabidi nirudi kwanza nyumbani nifanye namna... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Hivi Mtanzania akikwambia anafika muda si mrefu huwa anamaanisha yupo umbali kiasi gani?

    Ndio anajiandaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Biashara ya bodaboda pamoja na vipodozi

    Bodaboda labda ufanye mwenyewe itakuwa poa sana...vipodoz vinalipa hasa makali lkn ujue lugha ya biashara eneo liwe na watu wengi . Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Asante mke wangu kwa unayonifanyia

    Amina kwa niaba ya mkeo ubarikiwe mume wangu kwa kunipenda. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Unadhani ni nini kinasababisha Wanawake kuwazidi Wanaume idadi ya maneno kwa kiasi kikubwa hivi?

    Hizo tafiti za zamani mkuu saivi wanaume ndio wanawazidi wanawake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Nimejiunga na familia ya JF

    Karibu mgeni . Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom