Recent content by Kabwe Katali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nisameheni hadithi mzuri sana ya kusisimua

    Hawa watunzi ndio maana Chizi maarifa anakuwa mkali.Mwanzi sikuwa namuelewa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Milango ya mafanikio

    Sawa mkuu.ukipata muda usitusahau.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama hela za magoli ya Simba na Yanga bado zipo nyingi naomba na huku pia ziwepo nyingi

    Umefanya jambo jema mkuu kumbusha mama yetu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

    Yasikukute mkuu.binti yako akizaa hapo nyumbani mpokee tu.ukimfukuza ndio balaa linapoanzia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

    Kuzaa mapema kuna faida sana kuliko kuchelewa.ukijipanga vizuri ni bora uzae mapema.sio unastaafu au ni mfanyabiashara una 55 bado unasomesha hicho ni kitanzi bwana mdogo.mimi ni mhanga wa kuchelewa kuzaa hapa nilipo najuta sana.sio kwamba sitapata msaada lakini hata baada ya kustaafu natakiwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Milango ya mafanikio

    Mama kulwa atakuwa anampigia mahesabu Samson.inavyoonekana Tausi na Cathy watashika Mimba ya Samson.mtazamo wangu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Story ndefu sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Makombora 81 yalirushwa na jeshi la Urusi na kuleta uharibifu mkubwa

    Askari wa nani waliuliwa kama sisimizi.askari wa Russia wanaopigana ni kampuni binafsi ya ulinzi imepewa tenda ya kupigana huko Ukraine.Russia hawezi kupeleka jeshi lake ukraine anajua kuwa vita inaweza kuwa ndefu ikiwezekana kupigana na NATO.hata silaha anazotumia kwa sasa ni stock ya zamani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Kwahiyo Simba haiwezi kucheza shirikisho.Man United,Arsenal na Barcelona je sio timu bora duniani.wachambuzi wetu wapo kichawa sana kuliko kuwa wachambuzi halisi wa mpira.Muda sio mrefu watu wataacha kuwafatilia wamekuwa mashabiki kuliko kufanya kazi zao.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Makombora 81 yalirushwa na jeshi la Urusi na kuleta uharibifu mkubwa

    Kwenda kupiga Kiev ilikuwa ni mbinu ya kivita tu.ili ukraine wasiweke nguvu Donbass then wa russia wakarudi na kumega hicho kipande wanacho kihitaji cha Donbass oblast.Russia hana haja ya kuikalia kwa mabavu ukraine.shida yake ni hicho kipande kitachofanya kuisukuma mbali Kiev hata ikiujiunga na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makombora 81 yalirushwa na jeshi la Urusi na kuleta uharibifu mkubwa

    Wenzetu wa West ni mahiri sana wa propaganda kwa kutumia media.lakini nna uhakika hali nchini ukraine ni mbaya sana.tusubiri ya afaghnistan walipeleka majeshi ya Nato na USA na kila aina ya vifaa wakaondoka kwa aibu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Bodaboda wamjibu Lema, wanasema wana Maisha mazuri kuliko Walimu

    Inawezekana kuna ukweli fulani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilivyoachwa park station

    Hii story naona imeishia hapa hapa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ndani ya Februari – Machi 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa

    Mbeya matukio kama hayo ya ukatili ni jambo la kawaida sana mkuu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Hata wewe tupe majibu kuna ulazima gani kuitwa joseph au marko badala ya Ambakisye au anyonelile.
Back
Top Bottom