Recent content by Kabinda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Ngoja tusubiri kigogo 2014 anasemaje
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

    Sawa umeeleweka, hoja kubwa ilikua miundo mbinu. Kiini cha kuwa na utalii wa cable cars ni kuleta mapinduzi katika utalii na sekta zingine -Kwanza idadi ya watalii itaongezeka maradufu, kumbuka wengi wanaokuja sasa wana interest ya kupanda mlima kama sehemu ya mazoezi. Lkn wapo wengi ambao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

    I dont see as constructive rather than conservative. Ukiachana na faida ya kuongeza mapato, Cable cars zitaleta ufanisi zaidi kwenye suala la usalama hasa kwenye ajali au dharula Unakumbuka ile ajali ya moto? Ni wazi kwamba wakina Kigwangala walichelewa kufika eneo la tukio pia walishindwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

    Mkuu ukitaka kubishana hapa uwe umekula
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbwa Mwitu na Faru ni Wanyama walio katika hatari ya kutoweka nchini Tanzania

    Hii kuuwawa na simba kwenye utafiti huo nadhani itakua kwenye sababu zinginezo. Ukiangalia sana sababu alizoeleza kwenye utafiti wao zimetokana na mwingiliano kati ya wanyama na binadamu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Shukrani Manya aapa kuwa Mbunge. Spika Ndugai awataka wabunge wa ACT-Wazalendo nao wakaape

    Kwani shida nini hapo? Unapenda zile sentensi "tupo kwenye mchakato"
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jamii imempora mwanamke nafasi yake

    Unapozungumzia umbaji bilashaka unaoata hii katika maandiko matakatifu ambapo Mungu alimumba Adam then akamfanyia msaidizi,Hawa Katika hali ya kawaida neno msaidizi haliainishi aina ya kazi wala kuweka mipaka. Kimsingi utendaji kazi wa kila mmoja hutegemea na mikakati, ujuzi, elimu, tamaduni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Papa Baupa Diop afariki Dunia

    Yani Mary naya anapokea roho za watu, hii sijui wanaitoa wapi. Acha tu mkuu, apumzike kwa amani Papa Bouba Diop
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

    Fulani ni jamii ndogo? North ina makabila makubwa mawili Hausa na Fulani
  10. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

    Kwa miaka 5 ijayo hii inaweza kua ndio taswira mpya ya siasa ndani ya chadema
Back
Top Bottom