Recent content by KABILIZI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujiuzulu, Prof. Lipumba ajikita Rwanda kufanya utafiti wa Uchumi

    . Rwanda hakuma wachumi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za kutunga kitabu

    Vikwazo na propaganda wakati wa kutafuta ajira
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za kutunga kitabu

    Wana jf na andika uzi huu nikiwa namachungu na wizara ya ajira tanzania maana nimezunguka sana na utafutaji wa ajira mpaka kila kona wanapotolea kopy za vyeti washanikalili niki ingia hata kununua kitu utasikia unatoa na copy au unataka copy za vyeti nimechoka na nina juta kusoma kilimo na sasa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mke

    mpashe mpasheeee hee!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa, kwanini lakini?

    Utakuta wanasiasa pamoja na wafanyakazi waliopo serikalini ni watu wakwanza kusema eti vijana wajiajili .hivi mbona wao walipotoka vyuoni hawakuambiwa hivyo jamani. Hivi bila capital utajiajili ndugu zangu. kama kuna mwana jf anajua sababu za wao kusema hivyo naomba anitupie hapa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jk nakupongeza sana na wizara ya kazi mei mosi jk uwe serious na ulilosema

    hivi aja gusia waajiri wa sekreti ya ajira maana walichofanya upande wa kilimo
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

    du ulianza ukiwa mdogo kumbe mzoefu tusadie
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

    Unakopesha?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kulamba kikwapa cha mpenzi wako?

    Asante mgiriki asante sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii Mikoa Nani Kailoga?

    Acha utani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

    Acheni nyondo nyote hakuna aliyechuki math.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    nenda kwa kakobe atakuombea yata isha kabisa.Ukifika anza kwa kutoa ushuhuda.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    nenda kwa kakobe atakuombea yata isha kabisa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hedhi yangu ni mabonge ya damu

    Kunywa juice ya matikitimaji yana saidia sana tena iwe 3%2
Back
Top Bottom