Hedhi yangu ni mabonge ya damu

Umeelezea kifupi sana Kanjunju....kwa miaka mingapi sasa unapata hedhi? kuna mabadiliko yoyote? kama yapo ilikuwaje huko mwanzo tofauti na sasa? Ilianza lini? unapata hedhi kwa jumla ya siku ngapi ukijumlisha hizo 3 unazotoa mabonge? unabadilisha pad mara nagpi kwa siku? zilnaloa damu completely? unapata maumivu makali unapopata hedhi?
Ni maswali muhimu kujua ili kukupa ushauri mzuri...

Generally, hedhi si kawaida kuwa na mabonge ya damu. Mara nyingi mabonge ya damu yanaonyesha kuwa unatoa damu nyingi kupita kawaida kwa hedhi. Damu nyingi inajumuisha pia kutoa kwa siku nyingi (zaidi ya siku 5).

Kama utapenda kuwa na 'privacy' (nakushauri hivyo) ukajibu maswali hayo kwa PM fanya hivyo...nitajitahidi kukupa ushauri unaostahiki.


Mkuu Dr Riwa,

Ushauri wako unaotoa katika jukwaa hili umeenda shule sana. Ahsante sana kwa michango yako ya hali ya juu.
 
Yavunje vunje yawe chengachenga.
Ivi unajua kuna watu wenye matatzo n hum ndio wanategemea,pengin utan kama hizi ungepeleka kweny magroup ya kihuni kule Facebook, huku kuna wasomi tu naenda kule kwa Vilaza 2enzio
 
pole sana kwa hayo yanayokusibu mkuu maswala mengi ya wanawake hasa yahusuyo uzazi na mifumo yake huwa yanatokana na homoni, ila kwa ushauri wa tija fika hosipitali upate mahojiano ambayo yataonesha hisia katika tatizo husika.
 
Back
Top Bottom