Ushauri wangu ,kwa mtaji huo Mkubwa, nakushauri ulime matikiti lakini kwenye mikoa ya Pwani na Morogoro,. Kukodi shamba ekari 2 kwa maana ya mashimo 2000 Tsh.200,000,usafi was shamba na mashimo Tsh. 200,000 mbolea ya kuku viroba 100@100,000+70,000usafiri. Halafu nunuambegu 500gm @ 250,000 sumu...