Recent content by Kabendesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu Tetesi ya kuwepo mgonjwa wa Ebola Sengerema, Mwanza

    Duh naomba majibu yaje mazuri kuwa sio ebola, maana tutapukutika km inzi!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Faida za kula ndizi mbivu

    Mzizimkavu mimi haipiti siku bila kula ndizi nina vidonda vya tumbo mwezi wa nane niliumwa sana nikaambiwa utumbo umetoboka nikatibiwa. Ndizi hunipa nafuu sana pale tumbo likianza kuuma. Ni tunda pekee kwa sasa ninaloweza kula likakaa tumboni, mengine aidha tumbo itauma na nitaharisha.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

    Kwanza tuambie kabils lake. Ila kwa maelezo yako inaelekea huyo ni mjaluo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania WANAWAKE WAREFU HAWANA MVUTO kuliko wale wa kawaida.

    Km ww hupendi wanawake warefu me wenzako wapo wanao wapenda. Kila shetani na mbuyu wake.
  5. K

    JamiiForums Tanzania kwa wanaume wenzangu mnaoambiwa I LOVE YOU TOO

    Wanawake wenye mapenzi ya dhati na wasiojua kuomba hela wapo ila wanaume mkishaona hivyo mnawaona km wajinga washamba hamkai na kutulia nao mnabaki mnahanja hanja kwa wengine acha mfilisiwe....damn:rolleyes::mad:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa: Joaquim Lewanga

    Wala hujakosea ndiye mwenyewe.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa: Joaquim Lewanga

    Nilikosea wakuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa: Joaquim Lewanga

    Kuna familia fulani naifahamu mdada alipata tatizo kama la huyu ndoa ilifungwa, mdada akamwomba mumewe aoe mdogo wake mwanamke ili amzalie watoto. Na mpaka sasa wanaishi vizuri tu. Lewanga alishafariki kwa ajali huko mtwara. RIP
  9. K

    JamiiForums Tanzania pita hapa

    Nenda magogoni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa ya wanawake wengi kuwa hivi

    Raha jipe mwenyewe babu eeh......
  11. K

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    Hongera sana pia usisahau kutoa sadaka ya shukrani
Back
Top Bottom