Recent content by kabatimpya

 1. kabatimpya

  Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

  Anamwangole bun achimpelembe Chinga boy
 2. kabatimpya

  Ni wizara ipi ngumu?

  Fweza ndio kila kitu
 3. kabatimpya

  Usajili wa simcard kwa vidole imekuwa nongwa

  Vitambulisho vyenyewe havipo kwa watu wote.hapo inakuwaje?Halafu wakati tulipokuwa tunasajili walitusambazia mawakala mpaka vijijini.leo kusajili kwa kidole uwafuate ofisini.sijui huyu kikongwe mliemsajilia huko kijijini MNAMSAIDIAJE??
 4. kabatimpya

  Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

  Picha ingependeza zaidi.ili nasi tushiriki hizo sifa kama kweli wanakidhi vigezo.
 5. kabatimpya

  siku nikipanda ndege!

  Ukifika Burigi chato national park utuletee mrejesho
 6. kabatimpya

  Je, kuna mtu ambaye amewahi kusifiwa na wahindi kama mchapakazi

  Tena huwa wanawachonganisha nyie kwa nyie. Unamsikia anamwambia mwenzako mchunge huyu choli kama iba sema ongeja sahara mimi.na mwenzio anaambiwa hivyo hivyo laana wakubwa hawa
 7. kabatimpya

  Huyu kijana Waziri wa Viwanda na biashara yupo bomba na hana najivuno kabisa!

  Mbona mie niliwahi kumuona aliekuwa mbunge wa kg mh kafulila.Gari lake lilipata kidogo mafua wakati likipata huduma ya kwanza. Mbona tulifaidi jamaa alinunua birika zima la kahawa na kapu la karanga za kukaangwa.tulijumuika nae weee. Kwa taarifa wala haikuwa jimboni kwake alipotoa ofa hii.
 8. kabatimpya

  Tigo ndio nini mmetuletea??

  Hakipo tena hicho kifurushi ni saizi yako kwenda mbele sasa hivi
 9. kabatimpya

  Tigo ndio nini mmetuletea??

  Hongera yako mkuu ila mie nimewachoka
 10. kabatimpya

  Tigo ndio nini mmetuletea??

  Salam senu kwa mpigo eti. Ngoja niende kwenye hoja. Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako?? Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki: Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote. Mimi binafsi...
 11. kabatimpya

  Chama Cha Mapinduzi kimegeuka kuwa chama cha matusi badala ya hoja

  Niliingia TANU 1971 Tulivyohama CCM1977 Nami nimo lakini toka Chama kilivyoanza kunenepeana kwa hoja za ndioo nikaona tuendako sasa sipo nikalichoma moto gamba lao toka 2006 sasa ndio tumefikia kutukana wazee. Jee angekuwa hai mwl hivi matusi haya yangekuwepo? Chama kimekosa ADABU HESHIMA Wala...
 12. kabatimpya

  NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

  Waliivuruga rasimu yetu six na mafisiem wenzake.halahala kwenye kampeni sikuzungumzia swala LA katiba FULL STOP.
 13. kabatimpya

  Kilo 300 za mirungi zakamatwa ikidhaniwa kuwa majani ya mlonge

  Wangepitishia kenya mbona huko inaruhusiwa kutafuna kama muwa.walikwama vp
 14. kabatimpya

  Wilaya za Tanzania

  Wilaya ni moja ila majimbo ya uchaguzi ndio mawili
Top Bottom