Ni wizara ipi ngumu?

Ni wizara ipi ngumu?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
559
Tanzania kuna wizara tofauti je ni ipi ngumu inayomgusa mtanzania mpaka wa chini

Mimi naona ya kwanza wizara ya Ardhi
 
Tanzania kuna wizara tofauti je ni ipi ngumu inayomgusa mtanzania mpaka wa chini

Mimi naona ya kwanza wizara ya Ardhi
Serikali za mitaa, inahusika na mengi ikiwamo ardhi, afya, elimu n.k.
 
Tanzania kuna wizara tofauti je ni ipi ngumu inayomgusa mtanzania mpaka wa chini

Mimi naona ya kwanza wizara ya Ardhi
Wizara ya fedha ndo unabeba madubwana yote bila hiyo nchi yenyewe inayumba
 
Wizara ya fedha... Wizara ya kazi... wizara ya aradhi... wiazara ya katiba na sheria... wizara ya afya...

Cc: mahondaw
 
Hakuna wizara ambayo waziri wake alichaguliwa tena na wananchi kurudi bungeni .Mara waendapo kwenye uchaguzi hubwagwa kabisa .Ndiyo wizara yenye makeleke daily kila siku viongozi wake kwenye media.Wizara ya mambo ya ndani.Hii ni kelele malalamiko daily.
 
Back
Top Bottom