Recent content by Kabalimu

  1. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupakuwa video youtube

    Tube player Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Bukoba: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa mawasliano ya barabara baada ya daraja la Kanoni kufunikwa na maji

    kanoni nimto waliokumbwa na mafuliko bukoba nisawa na wanaokumbwa namafuliko mto msimbazi na mzinga hapa dar
  3. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu: Kwasasa Serikalini hakuna wenye vyeti feki wala taarifa za uongo kuhusu ajira zao?

    TPA wako zaidi ya 400 vyeti feki hajaondolewa hata mmoja
  4. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi waliofukuzwa kazi hawawezi kusamehewa??

    Nadhani hawana mtetezi mbona T P A wako kazini hamna hata mmoja alieondolewa kazini
  5. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania JIPATIE: Taa za kisasa zinazoweza kukusaidia pale umeme unapokatika!

    Kwa dar unapatikana wapi?
  6. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi mnapokuwa mmenuniana inachukua muda gani mpaka kuanza kusemeshana tena?

    Kununiana mwisho nikati yasaa 9-10 alfajiri
  7. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwaondoa watumishi wa umma darasa la saba

    Kuajiriwa na elimu ya darasa la7 nikosa?
  8. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Natafuta baba watoto

    Njoo mpenzi njoo Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  9. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi Wameua majambazi sita

    Sio kwamba natetea ujambazi nimeuliza polisi hawana mbinu zakuweza kujeruhi bila kuua ili majeruhi asaidie kutambua mtandao mzima ? Ikiwa polisi wanaua baada ya siku moja majambazi nao wanaua raia
  10. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi Wameua majambazi sita

    Hivisasa kuna mauaji yanayo endelea huko kibiti pwani lakini pia polisi nao wameendelea kuua watu ambao wanadai ni miongoni mwawauaji waraia huko pwani swali langu hivi polisi hawafundishwi mbinu ya kuweza kukamata muhalifu akiwa hai ili wasaidie kupata wenzao? Binafsi taarifa inayotolewa na...
  11. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Polisi fanyeni kazi yenu, hawa wanaoropoka wakamateni ili kusudi waisaidie polisi

    Leo kapigiwa sana makofi na vilaza wa TPA
  12. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Kairuki: Uhakiki vyeti feki kuendelea kwa wauguzi

    Wataenda kukagua vya wauguzi TPA walikwisha kaguliwa mbona hajawaondoa?
  13. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Majina ya Mikoa, Wilaya, sehemu ndani ya Tanzania pia na maana yake

    Mkoa wa kagera ulikua ukifahamika kama mkoa wa ziwa magharibi ulibadirisha baada ya vita ya kagera 1980
  14. Kabalimu

    JamiiForums Tanzania Serikali ni bora mfukuze watumishi wote kisha muanze upya kuajiri wale mnao wataka

    Inaelekea serikali inataka kupunguza wafanyakazi bila malipo ndomaana figisufigisu haziishi
Back
Top Bottom