Nimesikiliza ile hotuba, ki ukweli, japo Marekani na Tanzania ni sawa na Mbingu na nchi, ila bado naamini kuna kitu cha kujifunza bado.
Ki ukweli kabisa Democrasia siyo usawa, bali kushindana kwa hoja na kukubaliana, na si kupinga kila jambo, bali ni vita baina ya hoja moja zidi ya nyingine...