Sheria iboreshwe ili kupiga marufuku huu utitiri Wa marais Tanzania

Msemajiwao

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
676
1,682
Naomba bunge lijalo liandae mswada kupiga marufuku kwa watu/ taasisi ndogondogo mbali na rais Wa jamhuri Wa Tanzania kutumia jina la rais: Napendekeza watumie neno mbadala waitwe "WENYEVITI"
Hapa chini ni baadhi tu ya watu/taasisi ambao wametajwa Kwa jina la rais!
1. Rais Wa Tff
2. Rais Wa chuo
3. Rais Wa Tahiriso
4. Rais Wa TLS
5. Rais Wa wasafi classic
6. Rais Wa wanawake Tanzania
7. Rais Wa shule
*******************
Napendekeza waitwe wenyeviti ili kurinda hadhi aliyonayo RAIS WA JAMHURI!
Kama majoho yameweza kupigwa marufuku kutumiwa chekechekea; Basi kuna haja ya kupiga marufuku kutumia ovyo jina la Rais!
 
Hizo ni njama tu mnataka kuleta ili kuifuta TLS ; Watu nyie hovyo sana
 
Uuhhh kweli kabisa...ila neno Rais uwafarijiwanajiita marais wakat hawana ikulu...huwafarj kujiona na wao marais
 
watu wengne bhn.yaan km upo nae karibu unaweza ukampa kelubu ya nguvu..bahat sana
 
Back
Top Bottom