ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Nimekuwa nikitafakari sana yanayo endelea juu ya Mkuu wa mkoa Wa Dar Es Salaam!! Naona kinacho endelea hasa kwenye mitandao ya kijamii ni kufuata mkumbo Na Ukurupukaji bila kujua madai yao kamili niyapi hasa
Hii vita imekuja Baada ya Watu Fulani kutwaja kwenye Orodha ya Madawa ya Kulevya!! Kwa kinacho elendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu makondaa si Dhani kama kuna mwingine Atajitokeza kupigania vita hii ya madawa ya kulevya kwasababu ni dhahiri watanzania wameonesha nia ya kuyakubari madawa ya kulevya!! Lakini nasema omba yasikukute mwanao au ndugu yako akaadhiriwa na Madawa ya kulevya Utamkumbuka makondaa!
Leo kwasababu ya MAKONDA tumejua kuwa Kupitia kwa mkemia mkuu watu wameshikwa kumbe walikuwa wanaingiza kemikali ya kutengenezea dawa za kulevya bila Makonda tusinge lijua hili na hili linaonesha ni kwa kiasi gani Hii vita ni kubwaa!!
Lakini kwanini wale wanao mlalamikia MAKONDA wasitumie RULE of LAW yaani No one is above the LAW! Je watumie vipi? Kwasababu nchi yetu ni huru na inaendeshwa kwa misingi uhuru,Demokrasia na Haki basi Ajitokeze mmoja Ya walalamikaji Either GWAJIMA au mwingine yeyote AENDE MAHAKAMANI akamfungulie MASHTAKA MAKONDA!
Sheria ya nchi inasema kumili VYETI FEKI NA KUTUMIA VYETI AMBAVYO SIO VYAKO NI KOSA KISHERIA, unaweza kuhukumiwa na lufungwa....Hivyo basi hizi kelele za Atoe vyeti sijui serikali ifanye nini ziishe MMOJA ajitokeze na Aende MAHAKAMANI akamfungulie mashtaka Makonda kuwa Anatumia vyeti FEKI na Mahakama itaendesha kesi na Kuamua na kutoa hukumu as long as MAKONDA YUPO HAI na Walalamikaji Mpo?
Kwa sababu walalamikaji ni wasomi na hawakupata zero Basi watumie usomi wao Katika kumfungulia Makonda Kesi katika kosa la Pili la Kutumia Jina Ambalo sio lake! Sheria za Nchi zinasema Kutumia jina ambalo Sio lako katika mambo mbalimbali ni kosa Kisheria! Kama Mkuu wa mkoa Jina lake sahihi ni DAUDI BASHISTE na Sasa Anajiita PAUL MAKONDA inaamana yupo kinyume na sheria za nchi kama mlivyomstari wa mbele kusema aoneshe vyeti ajitokeze mmoja Aende mahakamani Akamfungulie kesi kuwa huyu anajiita PAUL MAKONDA HILO SIO JINA LAKE mwenye jina ni huyu na huyu jina Lake ni DAUDI BASHITE mahakama Itaamua na kuendesha kesi tutajua ukweli ni upii
Wasomi ambao hamkupata Zero lisaidieni Baraza la mitihani kwa kuwapeleka mahakamani wanao tumia vyeti Feki tofauti na hapo basi hizo zitakuwa kelele za churaa....
Kama makonda Alisimama na kuwataja majina wanaosadikika kujihusisha na madawa ya kulevya alisema wakutane polisi kwa mahojiano basi mmoja ya walalamikaji ajitolee kwendaa mahakamani kumshtaki Makonda kwa kosa alilo fanya tena Makosa mawili kuwa na vyeti Feki na Kutumia jina lisilo lake!
Tuachee kufuata mkumbo japo naamini kwenye MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAMO! HEBU MAmba wanao waongoza kenge kwenye huu msafara wa Kumtaka Makonda aoneshe vyeti waende mahakamani mahakama ndio chombo cha kuamua na kutoa haki ukizingatia hakuna Alie Juu ya Sheria
Niwatakieni utekelezaji mwema!