Kabale Ndagalu 2017
Member
- Nov 7, 2016
- 18
- 67
Nimesikiliza ile hotuba, ki ukweli, japo Marekani na Tanzania ni sawa na Mbingu na nchi, ila bado naamini kuna kitu cha kujifunza bado.
Ki ukweli kabisa Democrasia siyo usawa, bali kushindana kwa hoja na kukubaliana, na si kupinga kila jambo, bali ni vita baina ya hoja moja zidi ya nyingine, kwa lengo la kupata hoja mbadala na sahihi kwa wakati fulani.
Obama anaenda mbali zaidi na kusema kama kuna kitu cha thamani American inacho ni katiba, na anasema katiba ni makaratasi, hayawezi kuwa na nguvu, bali yanapewa nguvu na watu
Je, sisi kama Tanzania, Hasa Democrasia kwetu ni nini? Katiba kwetu ni kitu gani? Viongozi wetu wanaamini nini juu ya Democrsia?
NB. This is not political affiliated, natamani tuwe na mjadala kama watanzania