Hivi umelazimishwa kukaa hapo?mnawasemea watu tu!ulitaka atoe pesa zake mfukoni kuwezesha maji ambayo yamekuwa tatzo sugu jijini Dar es Salaam, hebu mwacheni kijana wa watu kha!maji maji imekuwa shida sasa, hamuoni msaada mkubwa anaofanya kwa Taifa ili kupitia michango yake, mnakera basi tu
Jameni labda wana Hit list yao ambayo inatarajiwa kutekelezwa ndani ya bajeti ijayo, ndiyo maana wanajua kuwa watakuswa na shughuli nyingi za maziko na rambirambi..interijensia inafanya kazi
hao mtu na demu wake mtela na juliana wanaojifanya ndugu, kila uchao wanazunguka hotelini na kwenye kumbi za starehe wataweza kujadiri hoja?itakuwa vioja pekee, kwa CDM wameula kina bananga wameoshwa na damu ya kondoo wamekuwa wapya na hakika hawawezi kuongea ujinga kama hizo korokoro zilizokosa...
hivi wanachowaza wanafikiri kitafanikiwa??hata hiyo kesi iongozwe the hague na ocampo arudi kama mwendesha mashata ubunge wa lema hauvuki ng'o!kwani hawa majamaa hawana majimbo mengine ya kukatia rufaa?
aombewee msamaha na watu kwa kipi?CHAUMMA na PM7 imeishia wapi?nitashangaa watakaokuwa wakiendelea kumuamini huyu jama, hata akiwa Rais kama anavyoota watakaompinga kuna siku atawatolea tamko la kuua wote kiuchawi, kiongozi gani anayeita watu panya na hata kutumia kinga za kichawi
magamba watakoma mwaka huu..yani kama nawaona namna inavyowachoma, hapana katisha na kaniki ya kijani mjini arifuu utafanyiwa kitu mbaya bora mlale home na najua vitanda havilaliki leo..wataisoma kimya kimya!!
polisi wapo kwaajili ya kufukuza maandamano na kuwatawanya waandamanaji mambo ya kuua wala hawayajali labda afe polisi wao ndo utaona hadi baba yao IGP anakimbilia eneo la tukio
Jana katika mkutano wake na wahariri mjini arusha, mkurugenzi mkuu wa takukuru edward hosea, alibahinisha kuwa katika uchaguzi mkuu wagombea wa chadema, walikuwa wakishiriki katika vitendo vya rushwa lakini takukuru ilishindwa kuwakamata kwa kuhofia kuwa wangeweza fanya maandamano nchi nzima ya...
hadi jana usiku waliokuwa wakichangia bungeni, walikuwa wakichangia gizani, huku vitaa vyekundu vya maic ndo vikionekana...haibu gani hii jamani na bunge hilo latazamwa na wengi..bado tunajivunia serikali sikivu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.